Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2018

GIZA LINALOZUIA KUZIONA BARAKA ZA MUNGU

  GIZA LINALOZUIA KUZIONA BARAKA ZA MUNGU UTANGULIZI   Katika kitabu hiki, natumaini wewe unayesoma utapata maarifa zaidi yatakayokusaidia kutatua changamoto za kiroho zinazo watesa watu wengi katika maisha yao kutokana na matendo ya giza yanayowazuilia wasimwone Mungu akitenda katika maisha yao.Nilikuwa natafakari sana wakati nataka kuandika kitabu hiki cha kwanza katika maisha yangu ya wokovu.Siku moja Roho wa Mungu akanipa msukumo wa kuandika kitabu hiki ili kiwasaidie watu katika kuzijua siri zilizofichika katika maisha ya mtu juu ya kutenda matendo ya giza yaani maovu ambayo yamekuwa kikwazo kwa watu   wa Mungu katika safari yao ya wokovu.Mfumo wa maisha ya mtu unaweza ukaathiri mambo mengi sana katika maisha yake hasa katika maeneo matatu yanayohusu maisha yake akiwa hapa duniani yaani Ukuaji wa kiroho , Uchumi,Afya na hali ya ndoa . Matendo mabaya (matendo ya Giza) ni kizuizi cha kupokea baraka kutoka kwa Mungu.Matendo hayo ndiyo yamekipa kitabu hiki ...