Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018

FAIDA YA KUFUFUKA KWA YESU

Picha
🌐 FAIDA YA KUFA NA KUFUFUKA KWA YESU KATIKA MAISHA YAKO 🌐 Mwlm.Peter Francis Masanja The voice of God Ministry 0679392829 💫Bwana Yesu asifiwe 💻 51 Na tazama , pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hata chini ; nchi ikatetemeka ; miamba ikapasuka ; Mathayo 27 :51 52 makaburi yakafunuka ; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala ; Mathayo 27 :52 53 nao wakiisha kutoka makaburini mwao, baada ya kufufuka kwake , wakauingia mji mtakatifu , wakawatokea wengi . Mathayo 27 :53 ✍🏻Leo napenda nikushirikishe ili tuweze kuangalia faida za kifo cha Yesu pale msalabani pamoja na kufufuka kwake . 💻 16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Yohana 3 :16 💫Kwanza tutazame lengo kuu la Yesu kuletwa duniani ambalo kila mtu amwaminiye apate uzima wa milele . 💫Ilimpasa Yesu afe msalabani ili tuupate huo uzima wa milele . 💫 Kupata kwake mateso ilik

USIOGOPE WINGI WALA UKUBWA WA ADUI

Picha
💫 USIOPE UKUBWA WALA WINGI WA ADUI ZAKO 🔥 Mlm.Peter Francis Masanja francispeter424@gmail.com 0679392829 The Voice of God Ministry Bwana Yesu asifiwe ✍🏻 Siku ya leo nataka tujifunze kuhusu kujiamini kuwa wewe ni mshindi ukiwa unamtegemea Mungu na kuamini kuwa yeye anamiliki na kutawala pia . 📖📖 Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika , Watarudi nyuma , kwa ghafula wataaibika . Zaburi 6:10 Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa , Hivyo nitaokoka na adui zangu . Zaburi 18:3 👉 Japokuwa kuna adui wengi wanakufuatia ujue kuwa Mungu atawaaibisha mbele zako. Usione ni wengi mbele za Mungu ni wachache sana . 👉 Kuna wakati ukiona adui wamekuandama unaogopa sana lakini nataka nikwambie kuwa usiogope mtukuze Mungu naye atasimama upande wako na atakupa namna ya kuwapiga adui zako . 📖📖 2 Wakaja watu waliomwambia Yehoshafati , wakisema , Wanakuja jamii kubwa juu yako watokao Shamu toka ng'ambo ya bahari ; na tazama , wako katika Hasason -

MUNGU PONYA KANISA LAKO

Picha

MAOMBI YA ULINZI

Picha
💒 MAOMBI YA ULINZI Mwlm Peter Francis Masanja The voice of God Ministry 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya; Isaya 62 :6 👉 Baba katika jina la Yesu , achilia nguvu yako , mamlaka yako,na uweza wako juu ya yule baba, mama, kaka na dada katika familia yake usiku huu katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth.Amen 👉Katika jina lipitalo majina yote la BWANA wetu YESU KRISTO wa Nazareth tunaagamiza kila silaha iliyotengenezwa toka kwenye ufalme wa giza  kumdhuru yule baba mama , kaka na dada pamoja na familia yake , tunawasambaratisha wote waliokaa ili kumtumia mabaya na mateso ,tunawaangamiza hata majini na mapepo na wanyama , wadudu au ndege waliotumwa kuleta mabaya wakati wa kulala katika jina la Yesu . 15 Tazama, yamkini watakusanyana; lakini si kwa shauri langu. Watu wo wote watakaokusanyana juu yako wataanguka kwa ajili yako. Isaya 54 :15 16 Tazam

FAIDA YA KUOMBA PAMOJA

* FAIDA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MAOMBI * Mwlm .Peter Francis Masanja The Voice of God Ministry 0679392829 https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sauti.ya.mungu.ministry  30 Mmoja angefukuzaje watu elfu, Wawili wangekimbizaje elfu kumi, Kama Mwamba wao asingaliwauza, Kama Bwana asingaliwatoa? Kumbukumbu la Torati 32 :30 Ipo nguvu kubwa katika maombi ya pamoja . Kupitia maombi ya pamoja mtu aliyekata tamaa hutiwa nguvu ya kuendelea kufanya maombi . ✍ Yeye aliye dhaifu wa imani, mkaribisheni, walakini msimhukumu mawazo yake. Warumi 14:1 Maombi ya pamoja hufunika udhaifu wa mtu na kumtia nguvu.  Palipo na maombi ya pamoja upako au moto wa Roho Mtakatifu hushuka . Palipo kusanyiko la watu waombao mtu inakuwa rahisi kunena kwa lugha . ✍ 1 Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. Matendo ya Mitume 2 :1 2 Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa

KUNA WATANO LAZIMA UWAITE KABLA YA MAOMBI

KUNA WATANO LAZIMA UWAITE KABLA YA MAOMBI  Mwl. Peter Francis Masanja The Voice of God ministry   19 Tena nawaambia, ya kwamba wawili wenu watakapopatana duniani katika jambo lo lote watakaloliomba, watafanyiwa na Baba yangu aliye mbinguni. Mathayo 18 :19 20 Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao . Mathayo 18 :20 Bwana Yesu asifiwe sana Leo nitazungumzia hawa watano ambao unatakiwa uwaite kabla ya kuingia kwenye maombi ya kupambana . 1⃣Uwepo wa Mungu  Lakini Bwana yu pamoja nami, mfano wa shujaa mwenye kutisha; kwa hiyo hao wanaonionea watajikwaa, wala hawatashinda; watatahayarika sana. Kwa sababu hawakutenda kwa akili, wataona aibu ya milele , ambayo haitasahauliwa kamwe . Yeremia 20:11 Kabla ya maombi ita uwepo wa Mungu ili akufanye kuwa mshindi  45 Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa

SUMU YA UCHUMBA NA NDOA

Picha
*💍 SUMU INAYOUA UCHUMBA NA NDOA 🌹🌹* Mwlm. Peter Francis Masanja francispeter424@gmail.com 0679392829 The Voice of God ministry _💫BWANA YESU ASIFIWE_ ✍🏻leo napenda tuangalie sumu inayoua uchumba au ndoa 💫Unaweza pia ukaliita hilo somo adui wa uchumba na ndoa . Inawezekana ulimpata mchumba mkakaa naye vizuri kabisa lakini ikaja ikatokea mumeachana na kila mtu kumsahau mwenzake ✍🏻Lakini leo nataka tuangalie sumu kuu inayoua au kuvunja uchumba au ndoa . 💫Zifuatazo ni sumu zinazopelekea uchumba au ndoa kuvunjika . *1⃣ KUKOSA MAOMBI* 💻📖 1 Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure . Zaburi 127 :1 💫Kuna wakati watu hujisahau na kuacha kuombea uchumba au ndoa zao Hii humfanya shetani aingie kwa kasi na kuhakikisha uchumba unavunjika au ndoa inakosa amani kwa sababu hakuna ulinzi wa Mungu 💫Maombi ni muhimu sana katika uchumba au ndoa 💫Uchumba au ndoa ikikosa maombi ni sumu kubwa sana inayop

NGUVU YA KUISHINDA DHAMBI

Picha
*🔥NGUVU YA KUISHINDA DHAMBI 🔥* 💫DAY ONE 🔥 Mwlm.Peter Francis Masanja 0679392829 The Voice of God Ministry 📖💻 Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata mkazitii tamaa zake; Warumi 6:12 👉Mpendwa ili mtu aweze kuishinda dhambi lazima atambue kuwa amepewa mamlaka ya kuishinda dhambi 👉Na mamlaka ya kuishinda dhambi yamo ndani ya Yesu . 📖💻 5 Nanyi mnajua ya kuwa yeye alidhihirishwa, ili aziondoe dhambi; na dhambi haimo ndani yake. 1 Yohana 3 :5 6 Kila akaaye ndani yake hatendi dhambi; kila atendaye dhambi hakumwona yeye, wala hakumtambua. 1 Yohana 3 :6 👉 Kanuni kuu ya kushinda dhambi ni kukaa ndani ya Yesu . 👉Yesu alikuja duniani kuzivunja hila zote za shetani maana shetani ndiye mwanzilishi wa dhambi na baba wa uovu wote duniani . 💻📖 8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi. 1 Yohana 3 :8 👉Kwahiyo inakupasa umkaribishe

KWANINI UYASIMULIE

Picha
*📖KWANINI UYASIMLIE ❓* Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 francispeter424@gmail.com 💻📖 4 Hayo hatutawaficha wana wao, Huku tukiwaambia kizazi kingine, Sifa za Bwana, na nguvu zake, Na mambo yake ya ajabu aliyoyafanya. Zaburi 78 :4 5 Maana alikaza ushuhuda katika Yakobo, Na sheria aliiweka katika Israeli. Aliyowaamuru baba zetu Wawajulishe wana wao, Zaburi 78 :5 6 Ili kizazi kingine wawe na habari, Ndio hao wana watakaozaliwa. Wasimame na kuwaambia wana wao . Zaburi 78 :6 7 Wamwekee Mungu tumaini lao. Wala wasiyasahau matendo ya Mungu, Bali wazishike amri zake. Zaburi 78 :7 💫Unakila sababu ya kuyasimulia yale makuu aliyokutendea Mungu ili kupitia wewe wengine waamini kuwa Mungu anaokoa na anao uweza mkuu sana. 💫 Unakila sababu ya kuyasimulia matendo makuu ya Mungu ili Mungu akupe kibali cha kuwa mshindi katika vita inayokukabili . 📖💻 6 akasema, Ee Bwana, Mungu wa baba zetu, si wewe uliye Mungu mbinguni? Tena si wewe utawalaye falme zote za mataifa? Na mkononi mwak

NGUVU YA IMANI

Picha
*🤝NGUVU YA IMANI KATIKA MAOMBI 🛐* Mwl. Peter Francis Masanja 0679392829 francispeter424@gmail.com The Voice of God Ministry 📖💻Yule akida akamjibu, akasema, Bwana, mimi sistahili wewe uingie chini ya dari yangu; lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona. Mathayo 8:8 💫Tunamwona huyu akida aliamini kuwa Yesu anaweza kuachilia uponyaji bila kufika nyumbani kwake . 💫Kwa hiyo hata upo mbali kiasi gani ukiamini kuwa Mungu anafanya atakutendea sawasawa na haja ya moyo wako. 📖💻 10 Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa ye yote katika Israeli. Mathayo 8 :10 💫Yesu alistaajabu kumsikia yule akida akimwambia aseme neno moja tu na mtumwa wake atapona 💫Huyo akida aliamini kabisa kuwa uponyaji hauangalii umbali 💫Hiyo ilikuwa ni imani kubwa sana katika jina la Yesu . Yule akida hakuwa na mashaka . 💫Leo tunashindwa kupokea tunacho kihitaji kwa sababu ya mashaka 📖💻 38 Lakini mwenye h

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

                                         SOMO: FAIDA KUJAA ROHO MTAKATIFU                                                  MNENAJI: MWLM C. MWAKASEGE                                                                     DAY 01                                                                  29/09/2016 Ni neema ya pekee sana kupata kibali kuwa hapa mkoa wa NJOMBE Mstari mkuu ni kutoka Effeso 5:18;” Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho” Lengo kuu la somo hili ni kujazwa Roho mtakatifu Na hapa tuta angalia mambo makuu matatu; ●Faida za kujazwa Roho mtakatifu ●kiu ya kujazwa Roho mtakatifu  ●Wajazwe Roho mtakatifu Faida za kujaa Roho mtakatifu Petro analiandia kanisa lililoko effeso kwamba   wasilewe kwa mvinyo ...maana yake ni watu ambao walikuwa wapo kanisani lakini walikuwa wanalewa. Bali anawaasa wajazwe Roho mtakatifu Biblia inatofautisha kati ya Roho mtakatifu na Nguvu ya Roho mtakatifu kama ifuatavyo;  Matendo 1:8;” Lakini mtapokea nguvu, a