Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2019

KIJANA JITAMBUE

Picha
KUJITAMBUA Somo la Kwanza Mwl Peter Francis Masanja 0679392829 🖊Ni muhimu sana kuongea na vijana wenzangu katika kizazi hiki . 🖊Neno la Mungu linasema sana mambo mazuri kuhusu vijana . *🔰 Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.* 1 Timotheo 4:12 🖊Mungu hajamuumba kijana ili ujana wake udharaulike 🖊Kijana yeyote hajazaliwa ili aaibike katika ujana wake . 🖊 Ni jambo la aibu kijana kushindwa kujitambua .Pale anaposhindwa kujitambua ndipo huja kudharauliwa katika ujana wake . 🖊Kijana anayejitambua kwanza anatambulishwa na mambo haya mawili ya kwanza 1⃣ USEMI 🖊Katika usemi , kijana ambaye anampenda Mungu lazima kinywa chake pia kibadilike ,yaani usemi wake . 🖊Siyo kila misemo kijana utaisema kama vile kumwita mkristo mwenzako 👉Oyaaaa 👉Msela vipi 👉 Mchizi wangu vipi 🖊Hata katika salamu siyo kila salamu zinafaa uziongee mfano 👉 mzuka ...