Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2019

MATENDO MEMA BILA KUOKOKA

*MATENDO MEMA BILA KUOKOKA(WOKOVU) YANA MAANA?* *MATENDO MEMA YANAWEZA KUWA MBADALA WA WOKOVU BILA KUPITIA WOKOVU WA YESU MSALABANI?* Mwl Raphael Mtui(0762 731869)  _Naomba sana usiache kusoma makala hii, na naomba uisome kwa unyenyekevu kabisa_. Tuanze kwanza kwa kusema ukweli huu: HAKUNA MWANADAMU AMBAYE HAKUWAHI KUINGIA KWENYE KITABU CHA DHAMBI NA HUKUMU! HAKUNA MTU HATA MMOJA AMBAYE ETI HAJAWAHI KUHITAJI MSAMAHA WA MUNGU KISA ANA MATENDO MEMA SANA!! HAKUNA MTU AMBAYE ETI HAHITAJI KUTUBU NA KUOKOKA, KISA AMEKUWA MTENDA MEMA SANA. NI YESU PEKE YAKE HAJAWAHI KUHITAJI TOBA NA MSAMAHA WA MUNGU, MAANA YEYE HAKUWAHI KAMWE KUWA MDHAMBI. SIFA HII YA KUTOHITAJI MSAMAHA WA MUNGU KUTOKANA NA UTAKATIFU WAKE, NDIO KIGEZO KILICHOPELEKEA YEYE KUFAA KUWA MWOKOZI WETU, NA DAMU YAKE KUPATA UHALALI WA KUTUFANYIA UPATANISHO KWENYE MADHABAHU YA MUNGU, MAANA HAIKUWA NA HATIA KABISA! WATU WENGINE WOTE KABISA WAMEWAHI KUWA WADHAMBI, *HATA KABLA WAO HAWAJATENDA DHAMBI ZAO WENYEWE!...