DARASA LA MAOMBI*
🖊 Mwl.Peter Francis Masanja 0679392829 📖 *DARASA LA MAOMBI* 📖🖊 ✍ Kunawakati maombi yako yanakuwa yanaudhaifu fulani na kushindwa kufikia viwango ambavyo Mungu anavikusudia kwako . 🖊 Tambua kwamba kila aliyempokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake amefanyika hivi 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 📖. 12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa *kufanyika watoto wa Mungu* , ndio wale waliaminio jina lake; Yohana 1:12 🖊 Umefanyika kuwa mwana wa Mungu . ✍ Baada ya kufanyika kuwa mtoto wa Mungu ukapewa uwezo yaani nguvu zitakazokusaidia kupigana . 🖊 Mungu amekuona wa maana saana kwahiyo alikupa nguvu za kiroho kwasababu adui Yaani shetani anafanya vita na wote wanaomwamini Yesu Kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yao . 🖊 Ndyo maana neno linasema 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 📖 12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pep...