MAFANIKIO YA KIUCHUMI
*π°MAFANIKIO YA KIUCHUMI π°* SOMO LA PILI Mwl Peter Francis Masanja 0679392829 https://peterfrancismasanja.blogspot.com π° 20 Yakobo akaweka nadhiri akisema, Mungu akiwa pamoja nami, akinilinda katika njia niiendeayo, na kunipa chakula nile, na nguo nivae; Mwanzo 28 :20 21 nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo Bwana atakuwa Mungu wangu. Mwanzo 28 :21 22 Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi. Mwanzo 28 :22 π Katika somo la kwanza nilifundisha somo la malango yako ya kiuchumi na mambo ya kushughulikia kwenye malango yako . πLeo nakukaribisha katika somo hili la pili tujifunze jambo moja kwa ufupi. ππππππππππ ✍π» *MAFANIKIO YA KIUCHUMI NI AGANO* π Kila aliyefanikiwa kiuchumi alifanya agano kati ya uchumi wake na kile anachokiabudu . π Inawezekana ikawa kafanya agano na mashetani akapokea masharti fulani ayafuate ili apate ...