CHUNGA UVAAJI WAKO WEWE MWANAMKE* πŸ’’ .

πŸ’’ *CHUNGA UVAAJI WAKO WEWE MWANAMKE* πŸ’’
.







Peter Francis


0679392829(what's App)

0744056901


Facebook: Peter Francis Masanja


francispeter424@gmail.com








🚢🏻‍♀MIILI YA WADADA LEO IMEKUWA SILAHA YA KUWAUA WANAUME


HII TUNASEMA NI DHAMBI YA KUWASABABISHA WEBGINE WATENDE DHAMBI KWA KUTENGENEZA VISHAWISHI


πŸ‘‰ kutembea nusu uchi ni dhambi ya ukoseshaji



πŸ‘‰kutembea ukionyesha matamanio kama vile mapaja, kitovu, kiuno , maziwa , na nguo za kukubana na kukuchora umbo na nguo zinazoonesha nguo za ndani ni dhambi ya kukosesha watu wanaokuona
.


Ole ni wa ulimwengu kwa sababu ya mambo ya kukosesha! Maana hayana budi kuja mambo ya kukosesha; lakini ole wake mtu yule aliletaye jambo la kukosesha!

Mathayo 18:7





πŸ‘‰ mnawafanya wanaune wazini kwa kuwaza maana hata kuwaza kufanya ngono na mtu fulani ni dhambi


Tena ndiye aliyefanya mahali pa juu milimani pa Yuda, na kuwaendesha katika uasherati wenyeji wa Yerusalemu, na kuwakosesha Yuda.

2 Mambo ya Nyakati 21:11






πŸ‘‰ Wadada wamekuwa sababu ya wanaume kutenda dhambi ya mawazo mabaya



πŸ‘‰Mwanaume anawaza uaaherati na uzunzi Mara amwonapo mwanamke kaonyesha matamanio yafuayayo :



Mwanamke anatakiwa asiachie sana yafuatayo




πŸ‘‰mapaja


πŸ‘‰ maziwa


πŸ‘‰ kiuno


πŸ‘‰ kitovu





Mwanaume ananaswa kwa kuona .






Moyo uwazao mawazo mabaya; Miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu;



Mithali 6:18


Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano;


Mathayo 15:19


Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,



Marko 7:21


Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu;



Wakolosai 3:5





πŸ‘‰ Wadada msiitoe miili yenu kuwa silaha ya dhambi mkiwanasa wanaume kwa kuonesha maeneo niyoyataja hapo juu



12 Basi, dhambi isitawale ndani ya miili yenu ipatikanayo na mauti, hata mkazitii tamaa zake;
Warumi 6 :12

13 wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.

Warumi 6 :13

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*