DHAMBI YA USHOGA NA UFIRAJI* πŸ”₯

πŸ”₯ *DHAMBI YA USHOGA NA UFIRAJI* πŸ”₯



πŸ’’Peter FrancisπŸ’’

0679392829
0744056901


Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

1 Wakorintho 6:9



πŸ”₯Tangu enzi za sodoma na Gomora mpaka sasa tunauona ushoga na ufiraji unakua kwa kasi sana duniani .


πŸ”₯ Kipindi cha Nuhu ,Mungu alipoona wanadamu wanazidi  maovu aliwaangamiza kwa gharika.


5 Bwana akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.
Mwanzo 6 :5


πŸ”₯Hata Sodoma na Gomora aliiangamiza kwa moto kutokana na maovu kuzidi na moja wapo ni hili la ushoga na ufiraji


15 Hata alfajiri ndipo malaika wakamhimiza Lutu, wakisema, Ondoka, mtwae mkeo na binti zako wawili waliopo hapa, usipotee katika maovu ya mji huu.
Mwanzo 19 :15

24 Ndipo Bwana akanyesha juu ya Sodoma na juu ya Gomora kiberiti na moto toka mbinguni kwa Bwana.
Mwanzo 19 :24


πŸ”₯Nakukumbusha tena kwa msisitizo kuwa kulala na Mke kinyume na maumbile , na ndoa za jinsia moja pamoja kulala na mnyama ni chukizo na ahadi yake ni jehanamu.


22 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.
Mambo ya Walawi 18 :22

23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
Mambo ya Walawi 18 :23

24 Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote;
Mambo ya Walawi 18 :24


πŸ”₯Tunaona hata kipindi hiki cha neema ushoga na ufiraji na usagaji unaendelea kukua kwa kasi sana

27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
Warumi 1 :27

28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Warumi 1 :28

29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,

Warumi 1 :29


πŸ”₯ *ZINGATIA YAFUATAYO*


πŸ‘‰USILALE NA MWANAMKE KINYUME NA MAUMBILE

Rum 1:27_


πŸ‘‰USILALE NA MWANAUME MFANO WA MKE

Rum 1:27_

πŸ‘‰USILALE NA MNYAMA MFANO WA MUME AU MKE

Rejea

WALAWI 18






πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’?πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’



Mungu akubariki

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*