MITANDAO NA UFALME WA MBINGUNI*

πŸ‘‘ *MITANDAO NA UFALME WA MBINGUNI* πŸ‘‘









12 Ingawa uovu una tamu kinywani mwake, Ingawa auficha chini ya ulimi wake; 
Ayubu 20 :12



πŸ‘‘ Kuna watu wanaitumia mitandao kwa maneno yao matamu kurubuni watu .


πŸ”₯ Mitandao itawapeleka motoni kwa kutumia ndimi zenu mnanena udanganyifu 


 *MITANDAO*



πŸ”₯ Mitandao imerahisisha dhambi leo hii watu wanatumiana picha za uchi na kufanya uasherati na uzinzi 

48 Hivyo nitaukomesha uasherati katika nchi hii, ili wanawake wote wafundishwe, wasifanye mambo ya uasherati wenu. 
Ezekieli 23 :48

49 Nao watawalipa ninyi malipo ya uasherati wenu, nanyi mtachukua dhambi za vinyago vyenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana MUNGU. 
Ezekieli 23 :49








πŸ‘‰πŸ»mbingu na ardhi zimeandika uovu wa mitandao na kila utakapoenda huwezi fanikiwa umefungwa kupitia ardhi 


27 Mbingu zitafunua wazi uovu wake, Nayo nchi itainuka kinyume chake. 
Ayubu 20 :27



KAMA TAJIRI ILIVYO NGUMU KUURITHI UFALME WA MUNGU 

NDVYO ILIVYO NA MTU ATUMIAYE MITANDAO PASIPO KANUNUNI ZA MUNGU 



πŸ‘‰πŸ» Mitandao imeongeza ukahaba 

10 Na tazama, mwanamke akamkuta, Ana mavazi ya kikahaba, mwerevu wa moyo; 
Mithali 7 :10



Leo wanawake wanaongoza kupost picha za kikahaba mitandaoni 

πŸ‘‰πŸ»Wanaonyesha maziwa , mapaja , na nguo za transparent zionyeshazo nini wamevaa ndani , na nguo za kuwabana kwenye makalio halafu chini zinamwaga 


Na kuonesha viuno kwa kuvaa nguo blauz fupi 


Kitu ambacho mwanaume hunaswa kwa urahisi 



ITAENDELEA πŸ‘—πŸ‘—πŸ‘—πŸ‘—πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*