NITAMJUAJE KAMA NI YEYE

🌹🌹 *NITAMJUAJE KAMA NI MCHUMBA SAHIHI WA NDOA* 🌹🌹


           




Mtu utamjua huyu ndye mchumba akiwa anapenda upendavyo wewewewe



Asiyependa dunia kuliko kumpenda Mungu .



Kama wewe umeokoka mpime mtu wako kwa vitu vya dunia ujue mapema


Ikiwa anayajua ya dunia kuliko hata Mungu huyo hakufai



Na kama akitaka ngono kabla ya ndoa huyo hakufai kabsa mkimbie 🏃



Angalia marafiki zake pia ,kama anamarafiki wengi sanaa wasiofaa kimaadili ujue hapo kunajambo



Mwangalie  kama wewe unamtukuza Mungu kweli jihadhari sana utaangushwa kiimani na mtu mzembe wa neno la Mungu


Mwangalie atakufanya imani yako istawi zaidi au idumae zaidi

Huwezi ukawa mchungaji halafu umeoa mwanamke mbishi mwenye kiburi hutatamani hata kufundisha masuala ya ndoa .

Mpime mchumba wako kwenye ukweli na uwazi


Kama akikudanganya jambo Fulani na ukaja kufuatilia ukaona ni uongo jua huyo hakufai



Mchumba wa kukufaa ni yule anayekuwa na malengo na wewe ya kuwa mtaishije mkioana



Peter Francis

0679392829

0744056901

🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁🚁

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*