ONYO KWA WA KINA DADA

*ONYO KWA KINA DADA AMBAO HAWAJAOLEWA* πŸ”₯






DADA AKILALA NA MWANAUME KABLA YA NDOA ANAUWEZEKANO MKUBWA WA KUACHIKA MARA TU WANAPOMALIZA UCHAFU WAO


ANAKOSA THAMANI KWA HUYO MWANAUME



ANAMLINGANISHA NA FULANI WA AWALI





8 Yerusalemu amefanya dhambi sana; Kwa hiyo amekuwa kama kitu kichafu; Wote waliomheshimu wanamdharau, Kwa sababu wameuona uchi wake; Naam, yeye anaugua, Na kujigeuza aende nyuma.
Maombolezo 1 :8

9 Uchafu wake ulikuwa katika marinda yake; Hakukumbuka mwisho wake; Kwa hiyo ameshuka kwa ajabu; Yeye hana mtu wa kumfariji; Tazama, Bwana, teso langu; Maana huyo adui amejitukuza.
Maombolezo 1 :9

10 Huyo mtesi amenyosha mkono wake Juu ya matamaniko yake yote; Maana ameona ya kuwa makafiri wameingia Ndani ya patakatifu pake; Ambao kwa habari zao wewe uliamuru Wasiingie katika kusanyiko lako.
Maombolezo 1 :10

11 Watu wake wote hupiga kite, Wanatafuta chakula; Wameyatoa matamaniko yao wapate chakula Cha kuihuisha nafsi; Ee Bwana, tazama, uangalie; Kwa maana mimi nimekuwa mnyonge.
Maombolezo 1 :11





πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯




 ❤❤πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
[11/28, 22:29] Rev. Peter Francis: *πŸ”₯ROHO YA AMNONI*πŸ”₯



πŸ‘‰ Wasichana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano


Hii ni kwa sababu roho za Amnoni zimejaa sana kwa wanaume




6 Basi Amnoni akalala, akajifanya mgonjwa; na mfalme alipokuja kumtazama, Amnoni akamwambia mfalme Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, aniandalie mikate miwili machoni pangu, nipate kula mkononi mwake.
2 Samweli 13 :6

7 Basi Daudi akatuma mjumbe aende nyumbani kwa Tamari, akasema, Nenda sasa nyumbani kwa Amnoni, ndugu yako, ukamwandalie chakula.
2 Samweli 13 :7

8 Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.
2 Samweli 13 :8

9 Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Wakatoka kila mtu kwake.
2 Samweli 13 :9

10 Amnoni akamwambia Tamari, Kilete chakula chumbani, nipate kula mkononi mwako. Basi Tamari akaitwaa mikate aliyoifanyiza, akamletea Amnoni nduguye mle chumbani.
2 Samweli 13 :10

11 Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, ndugu yangu.
2 Samweli 13 :11

12 Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinitenze nguvu; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.
2 Samweli 13 :12

13 *Nami nichukue wapi aibu yangu? Wewe nawe utakuwa kama mmoja wa wapumbavu wa Israeli. Basi, sasa, nakusihi, useme na mfalme; kwa maana hatakukataza kunioa.**
2 Samweli 13 :13

14 Walakini yeye hakukubali kusikiliza sauti yake; naye akiwa na nguvu kuliko yeye, akamtenza nguvu, akalala naye.
2 Samweli 13 :14

15 *Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.*
2 Samweli 13 :15

16 Naye akamwambia, Sivyo, kwa kuwa mabaya haya ya kunitoa ni makuu kuliko yale uliyonitendea. Lakini alikataa kumsikiliza.
2 Samweli 13 :16




πŸ”₯ Ndpo Tamari tunamwona alipendwa kabla ya kuingiliwa na Amnoni

Lakin Amnoni alipomjua tu akamchukia sana



πŸ‘‰ UKISOMA MSTARI WA 13 UTAGUNDUA KUWA HAIFAI KULALA NA MCHUMBA KABLA YA NDOA




BY


Rev.Peter Francis


πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*