SHAUKU YA MATAIFA
Shauku ya mataifa /The disire of agecy
Mwanadamu anakimbizana wakitaka kutafuta shauku,na Huku wanadamu wakitaka kutafuta shauku wao wenyewe,kwa kweli hawataweza,.Kristo huyu ndiye mwenye kuwezesha shauku hii.
Luke 2;8-14.
Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku.
9 Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang?aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.
10 Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;
11 maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.
12 Na hii ndiyo ishara kwenu; mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelala katika hori ya kulia ng?ombe.
13 Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu, na kusema,
14 Atukuzwe Mungu juu mbinguni,Na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.huyu ndiye injili hasa,na Kama ni injili basi ni mkombozi wa mwanadamu,na kusud la Mungu no Sisi kuishi bila laana,nabii Hagai anatabir shauku ya mataifa yote ambaye ni Yesu Kristo .SHAUKU ni Ile Hali ya juu,Kama ni afya Basi uwe na afya ya Hali ya juu,hi ni namna ya kibinadamu.Lakin yeye ambaye atakayeitimiza hi shauku katika kiwngo Cha juu zabur 38:8-9
"Nimedhoofika na kuchubuka sana,Nimeugua kwa fadhaa ya moyo wangu.
9 Bwana, haja zangu zote ziko mbele zako,Kuugua kwangu hakukusitirika kwako." Kristo ni vitu vyenye kutamaniwa,Kama ni magonjwa hayaji.zaburi 36;7-8
"Ee Mungu, jinsi zilivyo na thamani fadhili zako!Wanadamu huukimbilia uvuli wa mbawa zako.
8 Watashibishwa kwa unono wa nyumba yako,Nawe utawanywesha mto wa furaha zako." Watu weengi wanatafuta furaha kwa njia za hatariiiii kwa kula madawa,lakin ni furaha zilizopotoshwa hizi ni njia siyo sahihi na kujikuta wakifa,pia wengine kutafuta utajir kwa kuua .Embu tutafute SHAUKU ya Kristo ili tuweze kutimiza Ile furaha kwa kupitia yeye YESU Kristo Basi tunapata SHAUKU iliyo na furaha.
Uwezo wa kristo hauangamizi lakini unaokoa.
1 Wakorinto 1;24
"bali kwao waitwao, Wayahudi kwa Wayunani, ni Kristo, nguvu ya Mungu, na hekima ya Mungu"
.
MUNGU AKUBARIKI SANA

Maoni
Chapisha Maoni