VUNJA MADHABAHU YA UKOO INAYOFANYA MATAMBIKO NA MAZINDIKO KUPITIA MIZUMU

πŸ”₯ VUNJA MADHABAHU YA UKOO INAYOFANYA MATAMBIKO NA MAZINDIKO KUPITIA MIZUMU 








2 Vunjeni kabisa mahali pote walipokuwa wakiitumikia miungu yao mataifa mtakayoyamiliki, juu ya milima mirefu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Kumbukumbu la Torati 12 :2

3 nanyi zivunjeni madhabahu zao, zibomoeni nguzo zao, na maashera yao yateketezeni kwa moto, na sanamu za kuchonga za miungu yao zikateni; na jina lao lifutilieni mbali na mahali hapo.
Kumbukumbu la t 12 :3



πŸ‘‰ Angalia jinsi mizimu inavyoongea na watu wanapoenda kuabudu makaburini


4 Nawe utashushwa, nawe utanena toka chini ya nchi, na maneno yako yatakuwa chini toka mavumbini; na sauti yako itakuwa kama sauti ya mtu mwenye pepo, ikitoka katika nchi, na matamko yako yatanong'ona toka mavumbini.
Isaya 29 :4



Ingia kwenye Maombi sambaratisha , vunja ,bomoa , na kuichoma moto ile madhabahu ya ukoo wanapoitumikia miungu mingine .


1 Ole wa watoto waasi; asema Bwana; watakao mashauri lakini hawayataki kwangu mimi; wajifunikao kifuniko lakini si cha roho yangu; wapate kuongeza dhambi juu ya dhambi;
Isaya 30 :1

2 waendao kutelemkia Misri wala hawakuuliza kinywani mwangu; ili wajitie nguvu kwa nguvu za Farao, na kutumainia kivuli cha Misri.
Isaya 30 :2

3 Basi, nguvu za Farao zitakuwa aibu yenu, na kutumainia kivuli cha Misri kutakuwa kufadhaika kwenu.
Isaya 30 :3







πŸ”₯Mimina damu ya Yesu kuharibu nguvu zote za giza ambazo watu wa ukoo wako au ndugu zako wanazitegemea .




πŸ‘‰ Amini kwamba umepewa mamlaka ya kufanya chochote hapa duniani



10 angalia, nimekuweka leo juu ya mataifa na juu ya falme, ili kung'oa, na kubomoa, na kuharibu, na kuangamiza; ili kujenga na kupanda.
Yeremia 1 :10



πŸ‘‰ Kila pando la mauti lililokutesa siku nyingi na roho chafu iliyotuwa juu yako amuru irudi ilijitoka katika jina la Yesu .



5 Atawarudishia adui zangu ubaya wao; Uwaangamize kwa uaminifu wako.
Zaburi 54 :5



Ingia kwenye Maombi haribu ufalme wa giza


Halleluya πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯



29 Je! Neno langu si kama moto? Asema Bwana; na kama nyundo ivunjayo mawe vipande vipande?
Yeremia 23 :29







Peter Francis

0679392829

( RUNGU LA YESU )


20 Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita; kwa wewe nitawavunja-vunja mataifa; na kwa wewe nitaharibu falme;
Yeremia 51 :20

21 na kwa wewe nitamvunja-vunja farasi, na yeye ampandaye; na kwa wewe nitalivunja-vunja gari la vita, na yeye achukuliwaye ndani yake;
Yeremia 51 :21

22 na kwa wewe nitawavunja-vunja mwanamume na mwanamke; na kwa wewe nitawavunja-vunja mzee na mtoto; na kwa wewe nitawavunja-vunja kijana mwanamume na kijana mwanamke;
Yeremia 51 :22

23 na kwa wewe nitamvunja-vunja mchungaji na kundi lake; na kwa wewe nitamvunja-vunja mkulima na jozi yake ya ng'ombe; na kwa wewe nitawavunja-vunja maliwali na maakida.
Yeremia 51 :23

πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ‘†πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’πŸ’’

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*