KUNA WAKATI UNATAMANI KUOMBA LAKINI HUWEZI

Mwlm.Peter Francis
0679392829
FUATISHA MAOMBI HAYA
KATIKA JINA LA BWANA WANGU YESU KRISTO,NINAKEMEA,NA KUFUNGA NA KUANGAMIZA MAPEPO YOTE ,YANAYOZUIA MAOMBI ANGANI,NA KWENYE ARDHI,NA KWENYE BAHARI.NINAHARIBU KILA PEPO ARUKAYE ILI KULETA UCHOVU NA UZITO KATIKA MAOMBI YANGU.
KATIKA JINA LA YESU,NINAONDOSHA MAPEPO YOTE YALIYOPO NA YALIYOTUMWA NDANI YANGU ILI KUNIZUIA NISIFANYE MAOMBI, KATIKA JINA LA YESU ENYI MAPEPO NA MIUNGU YA UKOO MNAOZUIA NISIOMBE ACHIA MAISHA YANGU KUANZIA SASA HAMNA MAKAO NDANI YANGU TOWEKA KATIKA JINA LA YESU.
MAANA IMEANDIKWA KATIKA MATHAYO 10:1
" NIMEPEWA MAMLAKA JUU YA PEPO WOTE NA KUPONYA MAGONJWA NA UDHAIFU WA KILA NAMNA ''
NINASIMAMA JUU YA MSTARI HUU ,NAWAAMURU KATIKA JINA LENYE NGUVU KUPITA MAJINA YOTE LA BWANA WANGU YESU KRISTO MUACHIE MAISHA YANGU HAMNA MAKAO TENA NDANI NAWAAMURU ONDOKENI KATIKA JINA LA YESU.
KATIKA JINA LA YESU ,NINAWAFUNGA NA KUWASETA KUZIMU MSIINUKE TENA HATA SIKU YA HUKUMU YA BWANA .NINAWAANGAAMIZA KWA UPANGA WA NENO LAKE MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI KATIKA JINA LA YESU , MAANA IMEANDIKWA : NAO WALIMSHINDA KWA DAMU YA MWANAKONDOO NA KWA NENO LA USHUHUDA ( UFUNUO 12:11) NAMI NINASIMAMA JUU YA NENO HILI KWA DAMU YA YESU NINAWAANGAMIZA NINYI MAPEPO WOTE MLIOTUMWA KWANGU HAMNA MAKAO TENA ,NAIVUNJA ,NA KUIHARIBU,NA KUITEKETEZA KILA NGOME NA MATHABAHU ILIYOSHIKILIA MAISHA YANGU YA KIROHO ILI KUNIFANYA NISIOMBE .
KUANZIA SASA MIMI NIPO HURU KATIKA JINA LA YESU .AMEN

Maoni
Chapisha Maoni