MUNGU NIPE MAAMUZI SAHIHI

Mwlm. Peter Francis Masanja


0679392829


http://Peterfrancismasanjaministry.blogspot.com



πŸ“–πŸ‘¨πŸ»‍πŸ’» _MUNGU NIPE AKILI NIONE MBALI_



🚢🏻 *TAFAKARI HII IWAFIKIE WALENGWA*




πŸ’KAMA NDOA INGEKUWA NI KWAAJILI YA TENDO LA NDOA TU NISINGEFIKIRI NIMUOE NANI πŸ‘«



πŸ’KUOANA NA MTU NI KUJUA UMEBEBA KUSUDI GANI KWA AJILI YA HUYO MTU .




πŸ’UKIOA AU KUOLEWA KWA SABABU YA MIHEMUKO YA MWILI , UTAOA AU KUOLEWA NA KAHABA




πŸ’INGEKUWA TUNAANGALIA TENDO LA NDOA TU , KILA MTU ANGEFAA KUWA MWENZI WA MAISHA





πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ‘«πŸ“–πŸ‘¨πŸ»‍πŸ’»

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*