TENDA HAKI NA KWELI YA MUNGU
TENDA HAKI NA KWELI YA MUNGU
Mwlm.Peter Francis
https://peterfrancismasanja.blogspot.com
📖👨🏻💻 _UNAJISIKIAJE UNAPOSEMA UNAENDA MBINGUNI HALAFU HUKU HUNA KWELI NA HAKI YA MUNGU NDANI YAKO_ ❓
👉Mpendwa salamu hii ya asbhi ikufikie inataka ushikamane na Mungu kweli kweli .
📖👨🏻💻 1 Sikieni haya, enyi watu wa nyumba ya Yakobo, mnaoitwa kwa jina la Israeli, mliotoka katika maji ya Yuda; mnaoapa kwa jina la Bwana, na kumtaja Mungu wa Israeli, lakini si kwa kweli, wala si kwa haki.
Isaya 48 :1
👉 Usimtaje tu Yesu bure bali uishi katika kweli na haki
💒💒💒💒💒💒
Maoni
Chapisha Maoni