WANAPODHIDI KUTENDA DHAMBI ENDELEA KUOMBA TOBA KWAAJILI YAO
*WANAPODHIDI KUTENDA DHAMBI ENDELEA KUOMBA TOBA KWAAJILI YAO* _
ASOMAYE NA AJIFUNZE_
Mwlm .Peter Francis
0679392829
5 nikasema, Nakusihi, Ee Bwana, Mungu wa mbinguni, Mungu mkuu, mwenye kuogofya, mwenye kutimiza agano lake na rehema zake kwa hao wampendao na kuzishika amri zake;
Nehemia 1 :5
6 tega sikio lako, macho yako yakafumbuke, upate kuyasikiliza maombi ya mtumishi wako, ninayoomba mbele zako wakati huu, mchana na usiku, kwa ajili ya wana wa Israeli, watumishi wako; hapo ninapoziungama dhambi za wana wa Israeli, tulizozifanya juu yako; naam, mimi na nyumba ya baba yangu tumefanya dhambi.
Nehemia 1 :6 📖👨🏻💻
Maoni
Chapisha Maoni