NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA TAREHE 15/6/2018. SIKU YA TANO Mwl. Lameck Kijalo UTANGULIZI Bwana Yesu asifiwe sana wana wa Mungu. Baada ya kujifunza mambo mengi kuhusu "MSAMAHA" kutoka kwa Watumishi wa Mungu . Karibu tena katika mwendelezo wa somo letu katika semina hii. Na hakika utazidi kujifunza mengi zaidi. VIPENGELE TUTAKAVYOENDA KUVIANGALIA Vipengele hivyo yamkini vimeisha fundishwa au bado lakini ni wakati wako mzuri wa kurudia au kujifunza upya. Vipengele hivyo ni: 1. Je neno msamaha au kitendo cha msamaha kilianzaje? 2. Je Sifa za mtoa msamaha ni zipi? 3. Je sifa za Muomba msamaha ni zipi? 4 .Njia unazoweza kutumia kuomba msamaha ni zipi? 1.CHANZO CHA MSAMAHA. Msamaha ni neno linalomaanisha "Kuachilia" Luka 6:37 ".achilieni nanyi mtaachiliwa." Sasa jiulize ms...
Maoni
Chapisha Maoni