DHAMBI YA UZINZI

[1/23, 20:32] Rev. Peter Francis: *πŸ”₯HATARI YA UASHERATI NA UZINZI πŸ”₯*

πŸ“–πŸ–Mwl.Peter Francis


🏹🏹🏹🏹🏹





πŸ”₯πŸ”₯UASHERATI NI KIFO CHA KIMWILI NA KIROHO


.




πŸ‘‰πŸΌ Uasherati na uzinzi ni dhambi za mwili ambazo zinamchafua mtu na kukataliwa na MUNGU kiroho asipotubu kikamilifu


 πŸ‘‰πŸΌdhambi hizi zinachafua mwili na kumfanya roho wa MUNGU amkimbie mtu .


πŸ‘‰πŸΌ Dhambi hizi zinaua kiroho na kimwili
[1/23, 20:55] Rev. Peter Francis: πŸ‘‰πŸΌ *KIMWILI*

Mtu anaweza kupata magonjwa



Mtu anaweza kuchakaa


Kukosa heshima



πŸ‘‰πŸΌ *KIROHO*



Mtu anakosa akili


Mtu anakosa maarifa


Mtu anakosa ibada

Kwasababu ufahamu wake umefungwa



 Hatari zingine ni kuandamwa na roho ya umaskini na kukataliwa
[1/23, 20:55] Rev. Peter Francis: πŸ“–πŸ– 3 Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
Mithali 5 :3

4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wa makali kuwili.
Mithali 5 :4

5 Miguu yake inatelemkia mauti; Hatua zake zinashikamana na kuzimu;
Mithali 5 :5

6 Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
Mithali 5 :6

πŸ‘‰πŸΌ Mwisho wa maisha ya uasherati na uzinzi ni mauti



 πŸ‘‰πŸΌ Kuna watu wengi waliathirika kwa uasherati



πŸ‘‰πŸΌ Mahali ulipofanyia uasherati mbingu na ardhi zimeandika habari zako
[1/23, 20:59] Rev. Peter Francis: πŸ“–πŸ– 16 Ili kuokoka na malaya, Naam, malaya mwenye kubembeleza kwa maneno yake;
Mithali 2 :16



πŸ‘‰πŸΌ Asili kubwa ya mwanamke ni ubembelezi



πŸ‘‰πŸΌ Hapa ndio wanaume wengi hunaswa kwa sauti za wanawake



πŸ‘‰πŸΌ Wanaume wengi hawanaswi kwa uzuri wananaswa na sauti nyororo nzuri za ubembelezi na kujikuta wamenaswa


 πŸ‘‰πŸΌMWANAUME ANAHITAJI KUSHIKA AMRI ZA MUNGU NA KUZITII ILI ASINASWE


πŸ‘‰πŸΌ MWANAUME HAWEZI KUJILINDA NA UBEMBELEZI WA MWANAMKE KWA AKILI ZAKE BINAFSI


ANAHITAJI KUJAA NENO LA MUNGU KWA WINGI



πŸ“–πŸ– 2 Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako.
Mithali 7 :2

3 Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Mithali 7 :3

4 Mwambie hekima, Wewe ndiwe umbu langu; Mwite ufahamu jamaa yako mwanamke.
Mithali 7 :4

5 Wapate kukulinda na malaya, Na mgeni akubembelezaye kwa maneno yake.
Mithali 7 :5
[1/23, 21:01] Rev. Peter Francis: πŸ‘‰πŸΌ MALAYA ni mtu yeyote mwanaume au mwanamke mwasherati au mzinzi


πŸ‘‰πŸΌKinywa cha huyo mtu ni shimo yaani shimo ambalo ukitumbukia utaumia tu au kufa kabisa



πŸ“–πŸ– 14 Kinywa cha malaya ni shimo refu; Anayechukiwa na Bwana atatumbukia ndani yake.
Mithali 22 :14



πŸ‘‰πŸΌ Mwanamke / mwanaume Malaya anamitego



1⃣ Mwanaume malaya anatega kwa


πŸ‘‰πŸΌ pesa

πŸ‘‰maneno



2⃣ Mwanamke malaya huwatega wanaume kwa


πŸ‘‰πŸΌ Sauti ya ubembelezi

πŸ‘‰πŸΌ Vipodozi

πŸ‘‰πŸΌ Kuvaa nguo za kumchora na nguo za kuonyesha sehemu za matamanio kama vile maziwa , kitovu , kiuno , mapaja n.k


πŸ‘‰πŸΌ Mwanamke / mwanaume Malaya anamitego



1⃣ Mwanaume malaya anatega kwa


πŸ‘‰πŸΌ pesa

πŸ‘‰maneno



2⃣ Mwanamke malaya huwatega wanaume kwa


πŸ‘‰πŸΌ Sauti ya ubembelezi

πŸ‘‰πŸΌ Vipodozi

πŸ‘‰πŸΌ Kuvaa nguo za kumchora na nguo za kuonyesha sehemu za matamanio kama vile maziwa , kitovu , kiuno , mapaja n.kk





πŸ“–πŸ– 27 Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.
Mithali 23 :27
[1/23, 21:06] Rev. Peter Francis: [1/23, 20:07] Rev. Peter Francis: πŸ‘‰πŸΌUSITAMANI UZURI USIJE UKAANGAMIA


kumbuka ukinaswa unanaswa nafsi yako ya thamani

Na ukinaswa unakufa kiroho na kimwili



πŸ“–πŸ– 20 Mwanangu, shika maagizo ya baba yako, Wala usiiache sheria ya mama yako.
Mithali 6 :20

21 Yafunge hayo katika moyo wako daima; Jivike hayo shingoni mwako.
Mithali 6 :21

22 Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe.
Mithali 6 :22

23 Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru, Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima.
Mithali 6 :23

24 Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni.
Mithali 6 :24

25 Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake.
Mithali 6 :25

26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6 :26



 πŸ‘‰πŸΌ NENO LA MUNGU LIWE SILAHA YAKO LIKULINDE NA UASHERATI NA UZINZI


πŸ‘‰πŸΌ MUNGU anajua kabsa kwamba uasherati na uzinzi unaua

πŸ‘‰πŸΌ Usikubali kunaswa kwa uzuri na ubembelezi


πŸ“–πŸ– 24 Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni.
Mithali 6 :24

25 Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake.
Mithali 6 :25



πŸ‘‰πŸΌ MUNGU ANAJUA KABISA UKIUTAMANI UZURI NA UKAVUTWA NA UBEMBELEZI UTAPATA SHAUKU YA KUHITAJI KUFANYA UASHERATI / UZINZI


NA MATOKEO YAKE NAFSI YAKO ILIYO YA THAMANI INANASWA NA KUANGAMIZWA


πŸ“–πŸ– 26 Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Mithali 6 :26

27 Je! Mtu aweza kuua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe?
Mithali 6 :27

28 Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue?
Mithali 6 :28

29 Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.
Mithali 6 :29



πŸ‘‰πŸΌ KUZINI KUNAUA AKILI NA UWEZO WA KUFIKIRI NA HULETA UANGAMIVU


πŸ“–πŸ– 32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6 :32

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika.
Mithali 6 :33



πŸ”₯ UASHERATI NA UZINZI UNAMADHARA MAKUBWA SANA KWA MTU



πŸ‘‰πŸΌ Laana


πŸ‘‰πŸΌ Vifungo


πŸ‘‰πŸΌ mapepo

πŸ‘‰πŸΌmajini


πŸ‘‰πŸΌ magonjwa ya moyo na vidonda vya tumbo
[1/23, 21:08] Rev. Peter Francis: πŸ‘‰πŸΌUASHERATI NA UZINZI SIYO STAREHE NI UANGAMIVU


πŸ‘‰πŸΌ 32 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Mithali 6 :32


 πŸ‘‰πŸΌUNAPOFANYA UASHERATI AU UZINZI


TAMBUA YAFUATAYO



πŸ‘‰πŸΌ Kila mtu anamagojwa yake


πŸ‘‰πŸΌ Kila mtu anamaagano yake aliyorithi kwa wazazi wake

     Umaskini

    Mikosi

   Laana

πŸ‘‰πŸΌ mtu ana roho

Na Ukizini naye utazibeba roho na maagano yake kwa sababu mnapozini mmekuwa mwili mmoja



πŸ“–πŸ– 16 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.
1 Wakorintho 6 :16

17 Lakini yeye aliyeungwa na Bwana ni roho moja naye.
1 Wakorintho 6 :17


πŸ‘‰πŸΌ Ukizini na mtu utabeba maagano yake yote

Kama ni laana utazibeba

Kama ni mikosi utaibeba


Mtu ni roho .




πŸ‘‰πŸΌ Ukizini na watu 100 umebeba roho 100 ndani ya hizo roho kuna magonjwa ,vifungo na laana .



Hizo roho zote unatakiwa ukumbuke ni wapi ulizini na hao watu ili ufanye toba yaani uitakase hiyo ardhi kwa damu ya Yesu .


 πŸ‘‰πŸΌWanaofanya uasherati kuna mapepo ndani yao yanawasumbua sana


 πŸ‘‰πŸΌUasherati na uzinzi huleta hasira , uchungu , kelele na ghazabu na matukano


 πŸ“–πŸ– 30 Wala msimhuzunishe yule Roho Mtakatifu wa Mungu; ambaye kwa yeye mlitiwa muhuri hata siku ya ukombozi.
Waefeso 4 :30

31 Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya;
Waefeso 4 :31


πŸ‘‰πŸΌ Baba akianza uzinzi hukamatwa na roho za hasira, na uchungu na matokeo yake kuharibu ndoa kwa sababu amepatwa na mapepo ya kumchukia mke wake


πŸ‘‰πŸΌRoho za kahaba zinapambana na roho ya mke wake
Kumfanya amchukie


πŸ‘‰πŸΌ Mwanandoa yeyote asizini

Maana kutakuwa na roho ya hasira , uchungu , matukano , kelele , ugomvi na lugha chafu



πŸ‘‰πŸΌ Mapepo huja kupitia uzinzi ili kuharibu ndoa za watakatifu


πŸ‘‰πŸΌ mtu anapofanya uzinzi anakaribisha jeshi la pepo wabaya


πŸ“–πŸ– 19 Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;
Kumbukumbu la Torati 30 :19

20 kumpenda Bwana, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako, na wingi wa siku zako; upate kukaa katika nchi Bwana aliyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kuwa atawapa.
Kumbukumbu la Torati 30 :20


πŸ‘‰πŸΌ Amua kuchagua leo ufanye uasherati na uzinzi ukaue ndoa au usifanye ndoa yako ipate uzima



πŸ‘‰πŸΌ Unapofanya uzinzi unakaribisha majeshi ya pepo wabaya nyumbani mwako .


πŸ“– Chuki

πŸ“–Ugomvi

πŸ“–Laana

πŸ“–Mikosi

πŸ“–magonjwa

πŸ“–Dharau

πŸ“–hasira

πŸ“–Kelele

πŸ“–ugomvi




 HATA KIJANA AMBAYE HUJAOA USIFANYE UASHERATI UTAKUJA UJILAUMU HUJAPATA MWENZI SAHIHI WA NDOA KUMBE NI WEWE UMEBEBA MAJESHI YA PEPO WABAYA KWA KUZINI NA WATU WENGI NA HIZO ROHO ZAO UMEZIBEBA ZINAPAMBANA NA MWENZI WAKO .
[1/23, 21:09] Rev. Peter Francis: πŸ‘‰πŸΌ KUZAA NA MTU NJE YA NDOA HASA KWA MWANAUME HULETA YAFUATAYO



πŸ“– Kutokufanikiwa kiuchumi


πŸ“– Maisha ya kutangatanga ( kukosa makao)


πŸ“– WANAUME WENGI WAMEPATA TABU SANA WALIOZAA NJE YA NDOA .



πŸ”₯ WANAUME WALIOZAA KIPINDI CHA UASHERATI NA HAWAKUWAOA WALIOFANYA NAO UASHERATI HUPATWA NA YAFUATAYO


πŸ‘‰πŸΌ Roho ya kuvunja NDOA


πŸ‘‰πŸΌ Roho ya kuoa wanawake wengi


πŸ‘‰πŸΌ Utashangaa kuona mke wake kazaa nje ya ndoa pia


πŸ‘‰πŸΌ WAZAZI WANAOFANYA UZINZI HUSABABISHA YAFUATAYO KWA WATOTO WAO



πŸ– Roho ya kutokuolewa


πŸ– Roho ya kutokudumu kwenye uchumba


πŸ– Roho ya ukahaba


πŸ– Roho ya uasherati


πŸ– Roho ya kukataliwa




πŸ‘‰πŸΌ Ndoa za

πŸ–Kimila

πŸ– kiserikali

πŸ–Jinsia moja



Ni chukizo kwa Mungu wala hazitambuliki kabisa
[1/23, 21:11] Rev. Peter Francis: πŸ– NDOA TAKATIFU NI ILE INAYOFUNGISHWA KANISANI AU POPOTE IKIWA KUNA WATUMISHI WA MUNGU


NA IWA YA MKE NA MUME



πŸ“–πŸ– 31 Basi, mlapo, au mnywapo, au
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 mtendapo neno lo lote, fanyeni yote kwa utukufu wa Mungu.


1 WAKORINTHO 10:31

πŸ‘‰πŸΌ Watoto hubeba maagano ya yale waliyoyafanya wazazi wao


Kama kuna mambo wazazi hawakuyafanyia toba utaona yanajitokeza kwa watoto wao



πŸ‘‰πŸΌ Waliozini na waganga wa kienyeji kuna shida sana kiroho



πŸ‘‰πŸΌ Kulala na mtu kinyume na maumbile pia ni hatari kiroho na kimwili na Mungu anapiga vita haya mambo ni laana



Haijalishi ni kwa mkeo


πŸ“–πŸ– 26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi 1 :26

27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

Warumi 1 :27

28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Warumi 1 :28




πŸ‘‰πŸΌ Wanaoota ndoto wanazini na wanaume au wanawake wasiookoka inamaanisha wanakufa kiroho


πŸ‘‰πŸΌ Kemea ndoto za mapenzi



 πŸ‘‰πŸΌ Waliozaliwa nje ya ndoa pia wanahitaji toba

Ili roho ya kuzaa nje ya ndoa isitokee kwao




πŸ”₯ Waombe toba juu ya wazazi wao na kujifungua kwenye roho hizo


 MUNGU AKUBARIKI SANA


NI Mimi



Peter Francis Masanja

francispeter424@gmail.com

Naandika kutoka



https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Mtwara _ Tanzania

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*