HONEYMOON ( FUNGATE) MNAFANYIA WAPI ?
*π«HONEYMOON YENU MNAIFANYIA WAPI ❓*
SIKILIZA
*π₯ARDHI ILIYOFANYIWA UGANGA _UCHAWI, UASHERATI NA UZINZI INA ROHO ZA MASHETANI π₯
π Hasira ya Mungu ipo juu ya ardhi hiyo na vitu vyote vikaavyo hapo
πIkiwa umeenda honeymoon na mkewako hukuomba toba juu ya ardhi uliyoingia na kutakasa kwa damu ya Yesu usiniulize kwanini ndoa yenu inasumbua sana baada ya kutoka guest ( honeymoon) .
ππ¨π»π» 13 Bwana MUNGU asema hivi; Kwa kuwa watu hukuambia, wewe nchi u mwenye kula watu, nawe umekuwa mwenye kufisha watu wa taifa lako;
Ezekieli 36 :13
14 basi hutakula watu tena, wala hutafisha watu wa taifa lako tena, asema Bwana MUNGU;
Ezekieli 36 :14
15 wala sitakusikizisha tena aibu yao wasioamini, wala hutachukua matukano ya watu tena; wala hutalikwaza taifa lako tena, asema Bwana MUNGU.
Ezekieli 36 :15
πWapo watu wapohamia nyumba za kupanga ndoa zao zikaanza kusumbua na wengi wao zimevunjika
Kumbe tatzo ardhi imebeba roho za mashetani
πROHO ZA UZINZI
πROHO ZA UASHERATI
πROHO ZA ULEVI
πROHO ZA UKAHABA
πUtashangaa mumeo au mkeo alikuwa hachepuki mlipohamia tu hapo kachepuka
πUtashangaa binti yako alikuwa anajitunza mlipohamia hapo kaanza ukahaba
πSiyo tatizo lako wala la mkeo wala la binti
Tatzo ni zile roho zilizopo kwenye ardhi zinakula watu
ππ 2 Tuma watu, ili waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani, niwapayo wana wa Israeli; katika kabila ya baba zao mtamtuma mtu mmoja, kila mtu na awe mkuu kati yao.
Hesabu-Numbers 13 :2
18 mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kwamba ni hodari au dhaifu, kwamba ni wachache au wengi;
Hesabu-Numbers 13 :18
19 na nchi wanayoikaa kwamba ni njema au mbaya; kwamba wanakaa katika matuo au katika ngome;
Hesabu-Numbers 13 :19
20 nayo nchi ni ya namna gani, kwamba ni nchi ya unono au ya njaa, kwamba ina msitu au sivyo. Iweni na moyo mkuu, mkayalete matunda ya nchi. Basi wakati ule ulikuwa wakati wa kuiva zabibu za kwanza.
Hesabu-Numbers 13 :20
25 Wakarejea baada ya kuipeleleza nchi, mwisho wa siku arobaini.
Hesabu-Numbers 13 :25
πHuhitaji haja ya kupeleza ardhi ya gest ina roho gani inabdi utambue kuna roho chafu zitameza ndoa yako .
πππ¨π»π» 32 Wakawaletea wana wa Israeli habari mbaya ya ile nchi waliyoipeleleza, wakasema, Ile nchi tuliyopita kati yake ili kuipeleleza, ni nchi inayowala watu wanaoikaa; na watu wote tuliowaona ndani yake ni watu warefu mno.
Hesabu-Numbers 13 :32
πNdoa yako inaweza ikaliwa na ardhi
πππππππππππππ
https://peterfrancismasanja.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni