MAHUSIANO YANAHITAJI UTAKATIFU
SIKILIZA
*BINTI HUKUZALIWA DUNIANI KUGUSWA NA KILA MWANAUME*
👉Mwili wako ni wa mtu mmoja tu yaani mume wako peke yake
👉Biblia inasema mwili wako siyo wa mume mtarajiwa yaani kumruhusu mchumba akufunue utupu kabla ya ndoa ni laana .🔥na kunauwezekano wa 99.999% kutokuolewa kabsa .
👉Utaishia kufananishwa na fulani
La haula akigundua wewe huwezei tendo vzr kuliko fulani tegemea kuachwa hapohapo .
🔥Umekuwa uchafu kwake amekukinai 🔥
📖👨🏻💻 8 Yerusalemu amefanya dhambi sana; Kwa hiyo amekuwa kama kitu kichafu; Wote waliomheshimu wanamdharau, Kwa sababu wameuona uchi wake; Naam, yeye anaugua, Na kujigeuza aende nyuma.
Maombolezo 1 :8
9 Uchafu wake ulikuwa katika marinda yake; Hakukumbuka mwisho wake; Kwa hiyo ameshuka kwa ajabu; Yeye hana mtu wa kumfariji; Tazama, Bwana, teso langu; Maana huyo adui amejitukuza.
Maombolezo 1 :9
10 Huyo mtesi amenyosha mkono wake Juu ya matamaniko yake yote; Maana ameona ya kuwa makafiri wameingia Ndani ya patakatifu pake; Ambao kwa habari zao wewe uliamuru Wasiingie katika kusanyiko lako.
Maombolezo 1 :10
11 Watu wake wote hupiga kite, Wanatafuta chakula; Wameyatoa matamaniko yao wapate chakula Cha kuihuisha nafsi; Ee Bwana, tazama, uangalie; Kwa maana mimi nimekuwa mnyonge.
Maombolezo 1 :11
KATAA ROHO YA NYOKA NDANI YAKO
👉Mwili wako syo wa kuuza ovyo msubiri mumeo akufurahie umfurahie pia na upendo wa Mungu utadumu kwenu
*👉ACHA KUTANGA TANGA TULIA NA MKE MMOJA*
📖👨🏻💻 15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
Mithali 5 :15
16 Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu?
Mithali 5 :16
17 Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe.
Mithali 5 :17
18 Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako.
Mithali 5 :18
19 Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Maziwa yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Mithali 5 :19
👉Umegizwa umfurahie mkeo peke yake sasa mbona watafta makahaba ❓
Unatafta kufa
📖👨🏻💻 20 Mwanangu! Mbona unashangilia malaya, Na kukikumbatia kifua cha mgeni?
Mithali 5 :20
21 Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya Bwana, Na mienendo yake yote huitafakari.
Mithali 5 :21
22 Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.
Mithali 5 :22
23 Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, Naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.
Mithali 5 :23
👉MBONA UNAZINI NA WAKE ZA WATU ❓
*UNATAFUTA KUFA* 🔥
📖👨🏻💻 3 Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto ya usiku, akamwambia, Umekuwa mfu wewe kwa sababu ya mwanamke huyu uliyemtwaa, maana ni mkewe mtu.
Mwanzo 20 :3
Tulia na mmoja usitangetange
https://Peterfrancismasanja.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni