NGUVU YA MAOMBI

*🔥TRIUMPHANTIC AND VICTORIOUS PRAYER 🔥*


Peter Francis

0679392829

francispeter424@gmail.com




🔥 KATIKA JINA LIPITALO MAJINA YOTE LA BWANA WETU YESU KRISTO .

🔥NINAAMURU KILA NGUVU ZA GIZA NA UFALME ZA GIZA ZIPIGE MAGOTI MBELE YA YESU , NA KILA ULIMI UKIRI KUWA YESU NI BWANA .MAANA IMEANDIKWA KATIKA

WAFILIPI 2:10_11 KUSEMA :


📖🖍 10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Wafilipi 2 :10

11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wafilipi 2 :11


🔥 NASIMAMIA ANDIKO HILI KUAMURU KILA GOTI LIPIGWE , LA VITU VYA MBINGUNI NA DUNIANI NA KATIKA NCHI ( ARDHI ) NA KILA ULIMI UMTII YESU KRISTO , BWANA WA MABWANA , SHUJAA WA VITA , MWAMBA WA WOKOVU , NA MWANZO NA MWISHO ( ALPHA AND OMEGA ) .


🔥NINAKEMEA NA KUYAFUNGA NA KUYASETA KUZIMU MAPEPO YOTE YALIYOTUMWA NA SHETANI KUTOKA ANGANI, ARDHINI ,BAHARINI,NA CHINI YA BAHARI .NINAYAAMURU YAFUNGIWE MPAKA SIKU YA HUKUMU YA BWANA , KATIKA JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO WA NAZARETH. AMEN




🔥KATIKA JINA LENYE NGUVU KUPITA MAJINA YOTE LA BWANA WETU YESU KRISTO .

BABA WA MBINGUNI NINAKWENDA KINYUME NA MAPEPO AMBAYO SHETANI AMEYATUMA DHIDI YA RAFIKI YANGU , NDUGU YANGU , FAMILIA YANGU , N.K MAANA IMEANDIKWA: ✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍✍

📖🖍 17 Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi, asema Bwana.
Isaya 54 :17


🔥NASIMAMIA ANDIKO HILI KUYAFUNGA MAPEPO NA MAJINI YALIYOTUMWA KUHARIBU MAISHA YANGU KUTOKA ANGANI , ARDHINI , BAHARINI NA CHINI YA BAHARI.

🔥NAYAFUNGA NA KUYASETA KUZIMU MAPEPO YOTE NA NGUVU ZOTE ZA GIZA , KATIKA JINA LA YESU .AMEN


🔥NATANGAZA MAISHA YA USHINDI NDANI YANGU KUANZIA SASA FALME NA MAMLAKA ZA GIZA HAZITANISHINDA , MAANA IMEANDIKWA ✍✍✍✍✍✍✍✍


📖🖍 11 Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
Waefeso 6 :11

12 Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Waefeso 6 :12

17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu;
Waefeso 6 :17


🔥NASIMAMIA NENO HILI AMBAYO NI SILAHA KUU YA  KUSAMBARATISHA FALME NA MAMLAKA ZA GIZA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO .AMEN



https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*