PASIPO TOBA NDOA ITAKUSUMBUA
Nakatika mahusiano ukikosea tu ukazaa na mwanamke mwingine kabla ya ndoa
πRoho ya uharibifu inakuandama kama ifuatavyo :
✍Kuvunja ndoa
✍Kuoa wake wengi
✍ Roho ya uzinzi
✍Roho ya umaskini
✍ Roho ya kukosa makao
✍ Na utakuja kushangaa mkeo anafungwa tumbo asizae
✍Mkeo anazaa nje ya ndoa
πππ Utaposa mke na mume mwingine atalala naye; utajenga nyumba usiikae; utapanda mizabibu usitumie matunda yake.
Kumbukumbu la Torati 28:30
✍Utafanya kazi miaka mingi lakini hutajenga utakuwa wa kutangatanga
UKIONA UMEZALISHA KABLA YA NDOA TUBU
USIPOTUBU UKIJA KUOA NDOA ITASUMBUA SANA
https://peterfrancismasanja.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni