AHADI YA MUNGU

*πŸ“–πŸ‘¨πŸ»‍πŸ’»AHADI YA MUNGU*


πŸ‘‰Kumseta shetani chini ya miguu yako



πŸ“–πŸ‘¨πŸ»‍πŸ’» 20 Naye Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]

Warumi 16 :20



πŸ‘‰ Kukukomboa na nguvu za kaburi na roho ya mauti


πŸ“–πŸ‘¨πŸ»‍πŸ’» 14 Nitawakomboa na nguvu za kaburi; nitawaokoa na mauti; ewe mauti, ya wapi mapigo yako? Ewe kaburi, ku wapi kuharibu kwako? Kujuta kutafichwa na macho yangu.

Hosea 13 :14



πŸ‘‰ Kukupatia ulinzi


πŸ“–πŸ‘¨πŸ»‍πŸ’» 6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msi
we na kimya;

Isaya 62 :6



https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*