KUWATII VIONGOZI

[2/21, 13:40] Rev.Peter Francis: *๐Ÿ’ปKWANINI UWATII WATUMISHI WA MUNGU ( WANAOWAONGOZA) ❓*




๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 17 Watiini wenye kuwaongoza, na kuwanyenyekea; maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu, kama watu watakaotoa hesabu, ili kwamba wafanye hivyo kwa furaha wala si kwa kuugua; maana isingewafaa ninyi.
Waebrania 13 :17

18 Tuombeeni; maana tunaamini kwamba tuna dhamiri njema, tukitaka kuwa na mwenendo mwema katika mambo yote.

Waebrania 13 :18
[2/21, 13:42] Rev.Peter Francis[2/21, 13:40] Rev.Peter Francis: *๐Ÿ’ปKWANINI UWATII WATUMISHI WA MUNGU ( WANAOWAONGOZA) ❓*




๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 17 Watiini wenye kuwaongoza, na kuwanyenyekea; maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu, kama watu watakaotoa hesabu, ili kwamba wafanye hivyo kwa furaha wala si kwa kuugua; maana isingewafaa ninyi.
Waebrania 13 :17

18 Tuombeeni; maana tunaamini kwamba tuna dhamiri njema, tukitaka kuwa na mwenendo mwema katika mambo yote.

Waebrania 13 :18
[2/21, 13:42] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Kiongozi yeyote wa kiroho ( kanisa ) unapaswa kumtii.
[2/21, 13:43] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰ Kumbuka anataabika ili kuokoa roho yako usivutiwe kuzimu
[2/21, 13:45] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰ Kiongozi ili afanye kazi ya Mungu kwa furaha anahitaji utii wa wale anaowaongoza ambao wa kwanza ni mimi , wewe na yule
[2/21, 13:46] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰ Kuwatii viongozi kunawafanya wafanye kazi ya Mungu kwa kuifurahia pasipo kunung'unika .
[2/21, 13:48] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 12 Lakini, ndugu, tunataka mwatambue wale wanaojitaabisha kwa ajili yenu, na kuwasimamia ninyi katika Bwana, na kuwaonyeni;
1 Wathesalonike 5 :12

13 mkawastahi sana katika upendo, kwa ajili ya kazi zao. Iweni na amani ninyi kwa ninyi.

1 Wathesalonike 5 :13
[2/21, 13:48] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Ni jukumu lako muumini kumtii kiongozi wako wa kiroho
[2/21, 13:49] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰kumtii kiongozi wa kiroho ni agizo kutoka kwa Mungu
[2/21, 13:50] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Ukubali kuonywa akikuonya jambo lililo kinyume na sheria za Mungu
[2/21, 13:53] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป Usiseme masikioni mwa mpumbavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako.

Mithali 23:9
[2/21, 13:53] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Uonywapo na kiongozi acha dharau
[2/21, 13:56] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 12 Kwa maana kujisifu kwetu ni huku, ushuhuda wa dhamiri yetu, ya kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo utokao kwa Mungu; si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya Mungu; tulienenda katika dunia, na hasa kwenu ninyi.
2 Wakorintho 1 :12
[2/21, 13:57] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Yakupasa uyapokee maonyo kwa moyo mweupe na siyo kumkasirikia kiongozi
[2/21, 13:57] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Alikuzuilia kufanya uovu fulani ukamkasirikia hii ni hatari kwako
[2/21, 13:59] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 17 Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.

Ezekieli 3 :17
[2/21, 14:00] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Utambue kuwa kiongozi wako wa kiroho akuonyapo hayo maonyo siyo yake bali ni maonyo kutoka kwa Mungu .
[2/21, 14:00] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Amewekwa badala ya Mungu ili kuhakikisha wewe unakua kiroho kupitia yeye .
[2/21, 14:01] Rev.Peter Francis: ๐Ÿ‘‰Hivyo unapomdharau kiongozi unamdharau hata Mungu wako wa mbinguni



 ๐Ÿ‘‰Hata kama umemwona ameanguka usimdharau cha kufanya mwendee kwa hekima ukamweleze anachokifanya hakifai .
[2/

 ๐Ÿ‘‰Siyo mda wa kubeba uliyoyaona anayatenda na kuyasambaza ni muda wako wa kutafta namna ya kuzungumza naye ili umwambie ukweli
[

Mungu akubariki sana

Ni mimi

Mwlm. Peter Francis


Mtwara _ Tanzania


⛪⛪⛪๐ŸŽธ๐ŸŽธ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽน๐ŸŽน: ๐Ÿ‘‰Kiongozi yeyote wa kiroho ( kanisa ) unapaswa kumtii.


 ๐Ÿ‘‰ Kumbuka anataabika ili kuokoa roho yako usivutiwe kuzimu


: ๐Ÿ‘‰ Kiongozi ili afanye kazi ya Mungu kwa furaha anahitaji utii wa wale anaowaongoza ambao wa kwanza ni mimi , wewe na yule


: ๐Ÿ‘‰ Kuwatii viongozi kunawafanya wafanye kazi ya Mungu kwa kuifurahia pasipo kunung'unika .


: ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 12 Lakini, ndugu, tunataka mwatambue wale wanaojitaabisha kwa ajili yenu, na kuwasimamia ninyi katika Bwana, na kuwaonyeni;
1 Wathesalonike 5 :12

13 mkawastahi sana katika upendo, kwa ajili ya kazi zao. Iweni na amani ninyi kwa ninyi.

1 Wathesalonike 5 :13


 ๐Ÿ‘‰Ni jukumu lako muumini kumtii kiongozi wako wa kiroho


 ๐Ÿ‘‰kumtii kiongozi wa kiroho ni agizo kutoka kwa Mun


๐Ÿ‘‰Ukubali kuonywa akikuonya jambo lililo kinyume na sheria za Mungu


: ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป Usiseme masikioni mwa mpumbavu; Maana atadharau hekima ya maneno yako.

Mithali 23:9

๐Ÿ‘‰Uonywapo na kiongozi acha dharau

๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 12 Kwa maana kujisifu kwetu ni huku, ushuhuda wa dhamiri yetu, ya kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo utokao kwa Mungu; si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya Mungu; tulienenda katika dunia, na hasa kwenu ninyi.
2 Wakorintho 1 :12


๐Ÿ‘‰Yakupasa uyapokee maonyo kwa moyo mweupe na siyo kumkasirikia kiongozi

๐Ÿ‘‰Alikuzuilia kufanya uovu fulani ukamkasirikia hii ni hatari kwako

 ๐Ÿ’ป๐Ÿ‘จ๐Ÿป‍๐Ÿ’ป 17 Mwanadamu, nimekuweka kuwa mlinzi wa nyumba ya Israeli; basi, sikia neno hili litokalo katika kinywa changu, ukawape maonyo haya yatokayo kwangu.

Ezekieli 3 :17


 ๐Ÿ‘‰Utambue kuwa kiongozi wako wa kiroho akuonyapo hayo maonyo siyo yake bali ni maonyo kutoka kwa Mungu .

๐Ÿ‘‰Amewekwa badala ya Mungu ili kuhakikisha wewe unakua kiroho kupitia yeye .

: ๐Ÿ‘‰Hivyo unapomdharau kiongozi unamdharau hata Mungu wako wa mbinguni


๐Ÿ‘‰Hata kama umemwona ameanguka usimdharau cha kufanya mwendee kwa hekima ukamweleze anachokifanya hakifai .

 ๐Ÿ‘‰Siyo mda wa kubeba uliyoyaona anayatenda na kuyasambaza ni muda wako wa kutafta namna ya kuzungumza naye ili umwambie ukweli


: Mungu akubariki sana

Ni mimi

Mwlm. Peter Francis


Mtwara _ Tanzania


⛪⛪⛪๐ŸŽธ๐ŸŽธ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽน๐ŸŽน

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

๐Ÿ”ฐ MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA ๐Ÿ›*