MUNGU AWE PAMOJA NAWE

*πŸ’»MUNGU AWE PAMOJA NAWEπŸ’Ύ*


Mwlm .Peter Francis


πŸ‘‰ Mungu akulinde popote uendako .



πŸ’»πŸ’Ύ 1 Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Zaburi 23 :1

2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Zaburi 23 :2

3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Zaburi 23 :3

4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
Zaburi 23 :4

5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
Zaburi 23 :5

6 Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.

Zaburi 23 :6



πŸ‘‰ Popote uendapo Mungu akuongoze .


πŸ’»πŸ’» Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.

Isaya 48:17




https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*