*🌹KUMTAMBUA MWANAMKE ANAYEKUPENDA 🌹*





Mwlm.Peter Francis Masanja

0679392829


The Voice of God Ministry



πŸ‘«πŸ’πŸŒΉπŸŒΉπŸ˜˜πŸ˜˜πŸ’πŸ’

πŸŒΉπŸ“– Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzamisha; Kama mtu angetoa badala ya upendo Mali yote ya nyumbani mwake, Angedharauliwa kabisa.

Wimbo Ulio Bora 8:7





Dalili za mwanamke anayekupenda na anania na wewe .


✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻


 1⃣ Lazima atakusalimia kila siku na kukutakia majukumu mema .


 2⃣ Lazima atataka kukushirikisha changamoto zinazomkabili


 3⃣ Lazima atakushauri mambo ya maendeleo yako ili uwe katika nafasi nzuri


 4⃣ Atakupa ratiba zake na atakuwa anakwambia kama atakuwa busy kwa mda fulani .


 5⃣Atataka uwajue ndugu zake


 6⃣ Atakushauri kuhusu masuala ya imani


 7⃣ Atataka kujua kama unamchumba au huna


 πŸ‘‰Lazima ahakikishe huna mchumba au girlfriend mwingine .


 πŸ‘‰akishajua huna mtu mpendwa atajitahidi awe karibu na wewe katika mambo 6 niliyoyataja hapo juu

 πŸ‘‰ Kama anapafahamu kwenu anaweza kuja kukusalimia siyo kwamba anajipendekeza .


 πŸ‘‰ Kama mnafanya naye kazi ofisi moja usipokuwepo atakuulizia unatatzo gani.

Atataka kujua


 πŸ‘‰Anamshahara wake , akipokea atataka muende out kidogo mkaongee mambo ya maendeleo zaidi


 πŸ‘‰pia akitaka kufanya jambo likimtatza atakuomba ushauri

Mungu akubariki

https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*