MUNGU AKUONGOZE
*⛪MUNGU AKUONGOZE KATIKA KILA JAMBO ⛪*
Sir.Peter Francis Masanja
Mtwara _Tanzania
The Voice of God Ministry
✍🏻 Mtazame Mungu katika viwango vya juu sana ili akutendee makuu .
📖Amini kuwa yeye ni kiongozi wa maisha yako .
💻👨🏻💻 11 Naye Bwana atakuongoza daima, ataishibisha nafsi yako mahali pasipokuwa na maji, na kuitia nguvu mifupa yako; nawe utakuwa kama bustani iliyotiwa maji, na kama chemchemi ambayo maji yake hayapungui.
Isaya 58 :11
👉Mungu akutie nguvu
👉 Mungu atakuinua usikate tamaa.
francispeter424@gmail.com
https://peterfrancismasanja.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni