UJUE UKUU WA MUNGU

*🔥BWANA AYAFANYE MANENO YAKO KUWA MOTO NA  AWAFANYE KUNI ADUI ZAKO 🔥*

📖💻 14 Kwa sababu hiyo Bwana, Mungu wa majeshi, asema hivi, Kwa sababu mnasema neno hili, tazama, nitafanya maneno yangu katika kinywa chako kuwa moto, na watu hawa kuwa kuni, nao moto utawala.

Yeremia 5 :14

👉Neno la Mungu ni moto ulao

👉Neno la Mungu ni linaangamiza falme za giza .

👉Achilia neno la Mungu kwa kila hitaji unalomwomba Mungu .

https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*