URAFIKI,UCHUMBA NA NDOA
👫 *URAFIKI ,UCHUMBA NA NDOA* ⛪
The Voice of God Ministry
✍🏻Sir.Peter Francis ✍🏻
francispeter424@gmail.com
Mtwara _Tanzania
🤰🏻👙Usiolewe na mwanaume kwa kuwa una mimba yake.
😀Usiolewe na mwanaume kisa anakufurahisha.
💻Usiolewe na mwanaume kwa sababu huna ajira.
👫Usiolewe na mwanaume kwa sababu umekua nae ktk uhusiano kwa muda mrefu.
💃🏾Usiolewe na mwanaume kwa sababu umejiwekeza kwake kiuchumi.
💍👫OLEWA nae kwa sababu umemchunguza kwa makini na umejiaminisha kwamba anafaa kuwe mume bora na baba bora wa watoto wako.
👫Usiolewe kisa unamhurumia 🏃♂🏃♂🏃♂
Share
⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪⛪
https://peterfrancismasanja.blogspot.com
Maoni
Chapisha Maoni