EPUKA ROHO YA MAJIVUNO NA KUJIINUA* πŸ’«

πŸ’« TAFAKARI YA LEO:    


πŸ’«Mwl.Wilson Masaba & Peter Francis Masanja




The Voice of God Ministry






Somo :



 *πŸ’« EPUKA ROHO YA MAJIVUNO NA KUJIINUA* πŸ’«

πŸ’«Hakuna kitu kibaya kama kujiinua na kuwaona wengine hawafai .


πŸ’«. Epuka kiburi cha uzima



πŸ’«Usitumie mali yako kunyanyasa wenzako .

Bali itumie hiyo mali kuwasaidia waliao na shida zao ili Mungu akuinue zaidi .



πŸ’«Usitumie nguvu ulizonazo kunyanyasa wenzako bali zitumie hizo nguvu kuwatetea wanyonge .





 Mithali 16:1

 Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu;   Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.



 5 kila mwenye moyo wa kiburi ni chukizo kwa BWANA; Hakika, hatokosa adhabu.



 mtu  wa Mungu endelea tu kusubri majibu yako  kwa BWANA, na wewe unayejivunia pesa zako kuwanyanyasia wanyonge subiri pia.



 kama hutaki kubadilika nakuiendea njia iliyo sahihi kiburi  cha uzima chakujiona uko juu yawengine kitakuangamiza,





 Bwana aiguse mipango yako.





https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*