KANUNI ZA KUPOKEA

*๐ŸŒTAFAKARI YA LEO ๐Ÿ’ซ*


Tarehe 27 April 2018


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829

The Voice of God Ministry





 *๐Ÿ’ซKANUNI TATU ANAZOTUMIA MUNGU KUKUJIBU MAOMBI YAKO ๐Ÿ’ซ*



1⃣ Matendo mema

2⃣ Sala ( maombi )


3⃣ Sadaka.



 ๐Ÿ’ป 1 Palikuwa na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitalia,

Matendo ya Mitume 10 :1

2 mtu mtauwa, mchaji wa Mungu, yeye na nyumba yake yote, naye alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu daima.

Matendo ya Mitume 10 :2

3 Akaona katika maono waziwazi, kama saa tisa ya mchana, malaika wa Mungu, akimjia na kumwambia, Kornelio!

Matendo ya Mitume 10 :3

4 Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

Matendo ya Mitume 10 :4



 ๐Ÿ’ซMwangalie Konerio kama mfano wa kuiga kwako .


 ๐Ÿ’ซMatendo yake mema , maombi yake na sadaka yake ilimfanya Mungu asikie kuomba kwake .


 ๐Ÿ’ซHivyo basi na sisi yatupasa tumtukuze Mungu katika mambo haya yote matatu ya msingi kwake.


 ๐Ÿ’ซMungu hajibu maombi ya mtu aliye na matendo mabaya ndiyo maana tunatakiwa kujitakasa( kutubu ).


 ๐Ÿ’ซUsinyamaze mbele za Mungu peleka mahitaji yako naye atayafanyia kazi .


 ๐Ÿ’ซKupitia sadaka Mungu anasikia maombi yako kwa haraka zaidi


 Mungu akubariki sana


 https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

๐Ÿ”ฐ MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA ๐Ÿ›*