KUWATUNZA WATUMISHI WA MUNGU

*🌐KUWATUNZA MAKUHANI🌐*

Mwlm. Peter Francis Masanja

,0679392829

The Voice of God Ministry


💻 13 Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu, na wale waihudumiao madhabahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhabahu?

1 Wakorintho 9 :13

14 Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili.

1 Wakorintho 9 :14.

👉🏻Kuwatunza watumishi wa Mungu ni agizo toka kwa Mungu .

💫Hii ni kwa sababu wanajitaabisha kwaajili ya roho za watu wasipotee.

💫 Kwahiyo unatakiwa kujua kuwa wanaowatumikia makanisani wanafungu lao katika madhabahu ya Mungu.

💻 Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu, na wale waihudumiao madhabahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhabahu?

1 Wakorintho 9:13

💫 Neno hili linamaana sana unatakiwa kulifahamu.

Mungu akubariki sana

https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*