SHIDA YAKO NI FURSA MBELE ZA MUNGU* 🌐

πŸ’«TAFAKARI YA ASBHI πŸ’’

Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829


The Voice of God Ministry



Somo :


 *🌐 SHIDA YAKO NI FURSA MBELE ZA MUNGU* 🌐



πŸ’« Je , unapitia katika hali ngumu ya maisha ❓


➡ Mungu anaiangalia hiyo hali ya ugumu ili kupitia huo ugumu kuna saa inakuja atakuondolea na kukuweka pazuri .


πŸ‘‰πŸ» Siyo kwamba Mungu kakusahau , hapana ila kunajambo anataka kulifanya kwako ili wengine waamini kuwa yeye ni Mungu anaweza .


πŸ‘‰πŸ»  Endelea kumwita Mungu katika shida uliyonayo ili aachilie msaada juu yako.


πŸ‘‰πŸ» Ni Mungu pekee ndiye anayeinua watu viwango vya juu .


πŸ’« Yakupasa kumwita Mungu katika shida yako .


πŸ’» 1 Bwana akujibu siku ya dhiki, Jina la Mungu wa Yakobo likuinue. 

Zaburi 20 :1

2 Akupelekee msaada toka patakatifu pake, Na kukutegemeza toka Sayuni. 

Zaburi 20 :2

3 Azikumbuke sadaka zako zote, Na kuzitakabali dhabihu zako. 

Zaburi 20 :3

4 Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako, Na kuyatimiza mashauri yako yote. 

Zaburi 20 :4

5 Na tuushangilie wokovu wako, Kwa jina la Mungu wetu tuzitweke bendera zetu. Bwana akutimizie matakwa yako yote. 

Zaburi 20 :5

6 Sasa najua kuwa Bwana amwokoa masihi wake;Atamjibu kutoka mbingu zake takatifu. 

Zaburi 20 :6

7 Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja jina la Bwana, Mungu wetu. 

Zaburi 20 :7

8 Wao wameinama na kuanguka, Bali sisi tumeinuka na kusimama. 

Zaburi 20 :8

9 Bwana, umwokoe mfalme, Utuitikie siku tuitayo. 

Zaburi 20 :9



Hitimisho


πŸ’« Usichoke kumwita Mungu katika shida yako .




https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*