TAFAKARI YA LEO* πŸ›

πŸ’’ *TAFAKARI YA LEO* πŸ›

πŸ’«Mwl.Peter Francis Masanja .

0679392829

francispeter424@gmail.com


πŸ’’The Voice of God Ministry πŸ›








πŸ’» 17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.

Isaya 48 :17


Somo :



 πŸŒ *KUTEMBEA KATIKA UONGOZI WA BWANA* 🌐



πŸ’« Bwana Yesu asifiwe .


Karibu katika tafakari ya asbhi ya leo .



πŸ’«Kulingana na maandiko matakatifu katika

ISAYA 48:17



πŸ’» 17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata.

Isaya 48 :17



πŸ’« Tunajifunza mambo makuu matano ambayo anayasema juu ya maisha yetu kuhusu kutembea katika njia

πŸ‘‰πŸ» Nakukumbusha tena wazo kuu katika tafakari ya leo ni kutembea katika uongozi wa Bwana Mungu .


🌐 Ili tutembee katika uongozi wa BWANA lazima tujue mambo matano yafuatayo :


1⃣ Mungu ni mkombozi wako

πŸ‘‰πŸ»Shida yote uipatayo tambua kuwa Mungu ndye atafanya njia ili aiondoe hiyo shida maishani mwako .
Hii ndiyo tafsiri ya kwamba Mungu ni mkombozi wako .



2⃣ Mungu ni mtakatifu

πŸ’«Kama yeye ni mtakatifu na sisi yatupasa kuishi maisha matakatifu .


3⃣ Mungu anasema yeye ni Mungu wako .

πŸ‘‰πŸ» Kama yeye ni Mungu wako tambua kuwa anakupenda na anataka utembee katika uongozi wake ( ufuate yale anayotaka uyatende )


4⃣ Anasema yeye anakufundisha


πŸ’« Mungu anakufundisha maagizo au sheria zake na uweze kuzitii .


πŸ’«Anakufundisha ili uzifuate hizo sheria zake ili upate faida yaani ufanikiwe kiroho na kimwili.


 5⃣ Anakuongoza katika njia nzuri unayopaswa uifuate ili usipotee( njia iletayo wokovu)




 Mungu akubariki sana

Nakutakia asbh njema

https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*