TAFAKARI YA LEO

TAFAKARI YA LEO:  



     πŸ’»Zaburi 20:7 Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja juna la BWANA, Mungu wetu.


 Mt wa Mungu niasubuhi nyingine tena ambayo Bwana amefanya lakn chaajabu watu wanajivunia magari yao, nyumba zao, watoto wao , fahari waliyonayo bila kujua vyote hivyo ni mali ya BWANA, wamekuwa sumu kwa maisha ya wenzao kuwainulia makwazo kutokana na jeuri ya miliki yao , wewe mtu wa Mungu usitishwe nahayo uzima ulionao peke yake ni fahari tosha endelea kumwamini Mungu wako kama hajafanya atafanya, uamkapo mshukru Mungu kwanza maana yeye ndiye aliyekuamsha ktk wachache walioamka , nikutakie siku  njema na Bwana akutendee yaliyo mema.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*