_JE , TUNARUHUSIWA KUACHA MKE KWA HABARI YA UASHERATI_ ❓

 SWALI LA MJADALA ❓


 *πŸ’’JESUS CO_WORKERS MINISTRY* πŸ’’

Aliyeuliza :

Mwl.Peter F.Masanja

πŸ’« _JE , TUNARUHUSIWA KUACHA MKE KWA HABARI YA UASHERATI_ ❓




πŸ’» lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

Mathayo 5:32




➡ Isipokuwa kwa sababu ya uasherati ❗


πŸ’« Inamaana tunaruhusiwa kuacha mke kwa sababu ya uasherati ❓


[5/3, 08:38] ‪+255 755 882 058‬:

 Kwanza tujue maana ya uasherati then tujue tofauti ya uasherati na kuzini

[5/3, 08:38] ‪+255 716 777 244‬:


Biblia inasema, nadhani hakuna maana nyingine labda kwa habari ya unabii


[5/3, 08:39] ‪+255 755 882 058‬:

 Uasherati ni pale kijana anapofanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, mfano wachumba mnasex before marriage, lakin uzinzi ni pale wanandoa mmojawapo anafanya sex nje ya ndoa



[5/3, 08:40] Rev.Peter Francis M.


πŸ’’: ➡ Isipokuwa kwa habari ya uasherati ❗


Hapo ndyo penye swali



[5/3, 08:41] ‪+255 716 777 244‬:



Mzinzi ni mwasherati ili mwasherati ni mtu anayetoka nje ya ndoa.



[5/3, 08:42] Rev.Peter Francis M.



πŸ’’: Inamaana tunaruhusiwa kuacha wake zetu ikibainika wanatoka nje ya ndoa ❓





[5/3, 08:43] Rev.Peter Francis

πŸ’’: πŸ™†πŸ»‍♂ Yesu alimaanisha nini hapo



[5/3, 08:44] ‪+255 716 777 244‬:


Uzinzi ni mpana zaidi, ni hali ya kufanya tendo la ndoa, kabla ya ndoa au kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa yako ila uasherati ni kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
Hali ya kutokuwa mwaminifu katika ndoa ndio uasherati



[5/3, 08:46] ‪+255 763 914 441‬:


Mm nadhan uzinzi na uashereti hakuna tofaut ni maneno  yenye maana  moja


[5/3, 08:47] ‪+255 755 882 058‬:


Na dhambi mbele za Mungu



[5/3, 08:48] ‪+255 716 777 244‬:


 Tofauti ipo kwa maana tu, ila vyote ni dhambi


[5/3, 08:49] ‪+255 716 777 244‬:

 Machukizo makubwa mbele ya mwenyezi Mungu



[5/3, 08:49] ‪+255 763 914 441‬:


Maana  zake ni kumwacja mmeo au mkeo na ukaend kuzini na MTU mwingine kwahiyo mm nadhan jibu hapo  ni  hakuna kumwwcha mkeo maan mmeshaap kutengana mpk kifo


[5/3, 08:50] Pastor Sponga:

Ukisoma biblia unaona hayo maneno yanaingiliana kunasehemu yanasema uzinzi ni nje ya ndoa na nyingine uzinzi ni kwa wanandoa

[5/3, 08:51] ‪+255 716 777 244‬:

Kijana ambaye hajaoa hafanyi uasherati



[5/3, 08:51] Pastor Sponga:

Bwana Yesu alimaanisha hivyo ni uzinzi tu ndio unaoweza kuhalalisha talaka



[5/3, 08:52] Pastor Sponga:

Shida ni masharti yanayofuata baada ya kuachana


[5/3, 08:52] ‪+255 716 777 244‬:

Kijana ambaye hajaoa au kuolewa hafanya uasherati ila anakuwa anazini


[5/3, 08:53] Pastor Sponga:

Aliyeachwa asioe na aliyeacha pia asioe kwahiyo kwa hekima wchungaji huwa tunawasihi wasameheane maana walioachana hawapaswi kuanzisha mahusiano mapya


[5/3, 08:54] ‪+255 763 914 441‬:

Ndio maana katka ndoa kunahitaj uvumilivu na kusamehana sana


[5/3, 08:54] ‪+255 716 777 244‬:

 Biblia haimkataz mwanamume kuacha,


[5/3, 08:55] ‪+255 716 777 244‬:

Ila kwa habari ya uzinz



[5/3, 08:56] Pastor Sponga:

 Kwanini uzinzi ni hatari

1. Huvunja agano la kimungu na kuanzisha agano na yule uliyeshiriki naye

Unakumbuka ugomvi wa Mungu na wanawaisrael??




[5/3, 08:56] Pastor Sponga:

 2. Ni dhambi ambayo hufanyika ndani ya mtu



[5/3, 08:58] ‪+255 716 777 244‬:


Hataa biblia haimtaji mwanamume kuwa anazini mwanamke anayeachwa



[5/3, 08:59] ‪+255 716 777 244‬:

 Mwanamke anayeachwa akiolewa ndiye anayezini. Biblia haimtaji mwanamume kuwa anazini


[5/3, 09:02] Pastor Sponga:

8  Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Mathayo 19 :8

9  Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.

Mathayo 19 :9

10  Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.

Mathayo 19 :10

11  Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.

Mathayo 19 :11


[5/3, 09:02] ‪+255 716 777 244‬:


Biblia inamhukumu mwanamke aliyeachwa, wala haisemi mwanamume asioe mke  mwingine.



[5/3, 09:02] Pastor Sponga:


GATES SOMA HAPO JUU WANAFUNZI WALIVYOJIBIWA


[5/3, 09:03] ‪+255 742 805 807‬:


Hellow mm ninavyoelewa kwamb   msichana au mvulana ambae hajaingia bdo katika ndoa  wakishiriki tendo  la ndoa  huo ni  uasherati lakin  watu  ambao wapo katika ndoa  mmoja akitoka nje huo ni  uzinzi 😦😦


[5/3, 09:05] Pastor Sponga:


Ukisha acha usioe  wanahistoria wanasema paulo aliacha na hakuoa tena



[5/3, 09:05] Pastor Sponga:

 Usikurupuke kuacha mke tengenezeni mambo yenu unamuweza ndio maana Mungu amekupatia


[5/3, 09:08] ‪+255 716 777 244‬:

Daaah somo gumu sana linahitaji neema ya Mungu.



[5/3, 09:15] ‪+255 716 777 244‬:

 Kwa mfano, ndoa imefungwa kanisani ila mmoja kati ya wanandoa hakuwa mkweli, alimdanganya mwenzake kuwa hana mtoto kumbe anao wawili wapo kwa bibi yao shamba.
Baada ya muda kwenye ndoa yao mmoja anagundua kuwa mwenzake alimdanganya..
Je? Hawezi kumwacha?

Mfano mwingine. Mwanamume alitumia uchawi kumvuta mwenzie ili amwoe na baada ya muda katika ndoa yule mwanamke akagundua mwenzie ni mchawi na alitumia uchawi ili ampate.
Je hawezi kudai talaka?


 [5/3, 09:33] ‪+255 655 867 628‬:


Katk kipindi cha kuoa na kuolewa ni kipindi muhimu sana kwa mwanadam yeyote kufanya maamuz ambayo yapo ni uwepo wa Mungu utulivu unahitajika kwa kiasi kikubwa sana ili Mungu aingilie kati hayo maamuz na Mungu husema na watu kwa njia nying ikiwepo Neno, Ndoto but watu tunajifanya hatuelew ama tumeelewa lkn hatutaki sikiliza ama kutii   kumbuka bibilia inasema Kutii ni bora kuliko sadaka sasa huyo hakuchukua muda wa kutosha kumsikiliza Mungu  Mungu hawez Fanya jambo lolote bila kuwafunulia manabii siri zake Amosi 3:7 ikiwa imetokea hivo hana budi kuendelea kukaa nae hata Ayubu alikaa na Mke asiye urithi wake hakumwacha kumbuka alikuja kumalizia kwa kusema nalimtani Mwanamke kwa Macho yangu je urithi wa Bwana watoka wapi? Kwahy huyo alifanya bila. Uwepo Wa Mungu hana budi kuishi nae


[5/3, 09:36] ‪+255 717 479 651‬:

Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga hila za ibilisi.

Waefeso 6:11


[5/3, 09:59 Rev.Peter Francis M.πŸ’’:


 HITIMISHO πŸ’’


mkiachana hakuna kuoa wala kuolewa tena .


Mkiachana hakuna kujichafua kwa zinaa kaa bila tendo maisha yako yote .



Mungu akubariki.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*