JITAHIDI KUINGIA AU KUTUMIA MLANGO HUU/ NJIA HII

SOMO: JITAHIDI KUINGIA AU KUTUMIA MLANGO HUU/ NJIA HII


Na : Pastor Peter Sponga


JESUS CO_WORKERS MINIMINISTRY





8  Na hapo patakuwa na njia kuu, na njia, nayo itaitwa, Njia ya utakatifu; wasio safi hawatapita juu yake; bali itakuwa kwa ajili ya watu hao; wasafirio, wajapokuwa wajinga, hawatapotea katika njia hiyo.

Isaya 35 :8




13  Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.

Mathayo 7 :13

14  Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

Mathayo 7 :14



7  na yule wa ndani amjibu akisema, Usinitaabishe; mlango umekwisha fungwa, nasi tumelala kitandani mimi na watoto wangu; siwezi kuondoka nikupe?

Luka 11 :7



10  Na hao walipokuwa wakienda kununua, bwana arusi akaja, nao waliokuwa tayari wakaingia pamoja naye arusini; mlango ukafungwa.

Mathayo 25 :10

11  Halafu wakaja na wale wanawali wengine, wakasema, Bwana, Bwana, utufungulie.

Mathayo 25 :11

12  Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi.

Mathayo 25 :12

13  Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa.

Mathayo 25 :13



7  Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo.

Yohana 10 :7

9  Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

Yohana 10 :9

14  Mimi ndimi mchungaji mwema; nao walio wangu nawajua; nao walio wangu wanijua mimi;

Yohana 10 :14

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*