KANUNI ZA MAWASILIANO

*💫 PRINCIPLES OF COMMUNICATION 💒*


Kanuni za mawasiliano .



Mwl.Peter Francis Masanja .


💻 Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea munyu, mpate kujua jinsi iwapasavyo kumjibu kila mtu.

Wakolosai 4:6



💫 USIMJIBU MTU USIVYOPENDA UJIBIWE



💫 USITAMKE MANENO YATAKAYOMFANYA MTU AJIHISI KUDHARAULIWA AU HAFAI



💫 USIMTUKANE MTU



💫 USIMKALIE KIMYA MTU ALIYEKUTUMIA UJUMBE WAKE AKIWA NA SHIDA KAMA HUNA CHA KUMSAIDIA SEMA HUNA .



💫 USIMWULIZE MWENZAKO MASWALI YA KEJELI AU DHIHAKA .



💫 EPUKA MANENO YA KUGANDAMIZA JINSIA FULANI



💫UKIWA MBELE YA WATU EPUKA KUTUMIA MISEMO YA KUJUMUISHA KAMA VILE

WANAWAKE WOTE WAONGO AU WANAUME WOTE WAONGO


TUMIA NENO BAADHI YA ....

ILI UEPUKE KUJITENGENEZWA UADUI .




💫 EPUKA MANENO YA VITISHO



💫 KAMA UPO KWENYE MAHUSIANO USIMWAMBIE MTU WAKO IKITOKEA TUMEACHANA





💒💒💒💒💒💒💒💒💒


https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*