*KUFANYIKA IMARA KIROHO

πŸ’«TAFAKARI YA LEO πŸ’’

Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829

SAUTI YA MUNGU MINISRTY


SOMO :


πŸ’’ *KUFANYIKA IMARA KIROHO* πŸ’«



πŸ’» 22 wakifanya imara roho za wanafunzi na kuwaonya wakae katika ile Imani, na ya kwamba imetupasa kuingia katika ufalme wa Mungu kwa njia ya dhiki nyingi.

Matendo ya Mitume 14:22


πŸ’« Mpendwa neno la Mungu linasema kwamba kuokoka tu haitoshi bali mtu anapookoka atafute kufanyika imara kiroho .


πŸ’« Kufanyika imara kiroho maana yake ni kudumu katika kusoma neno la Mungu na kulifanyia kazi .


πŸ’«Pia njia nyingine ya kufanyika imara kiroho ni pamoja na kushiriki semina za kiroho .


πŸ’« Njia nyingine ni kudumu katika imani .

➡ Ishike imani ya Kristo kwa uaminifu na ukitenda haki na kweli ya Mungu .




Mungu akubariki sana


https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*