MCHUMBA ASIYEKUFAA ❌*
👫 MCHUMBA ASIYEKUFAA ❌*
Mwl.Peter Francis Masanja
0679392829
0744056901
francispeter424@gmail.com
💒 SAUTI YA MUNGU MINISTRY 💒
💻 Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.
Mithali 22:3
Tafakari hii ikupe maono upate mwenzi sahihi maishani mwako .
Unamwambia mchumba wako akutumie picha ya maziwa
Acha ujinga
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
💫 Unamwambia mchumba wako akutumie picha za uchi 🙆🏻♂
Acha ujinga , Okoka ndugu
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
💫 Mwanaume ambaye hakupendi anataka akuchezee na kukuacha ataomba picha za uchi au nusu uchi
Huyo hakuoi kamwe .
Nawewe binti unayemtumia mchumba wako picha za aina hiyo ukome
Okoka na ukatubu
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
✍🏻 Kama anataka picha kwanini usimtumie ulizovaa mavazi ya heshima ❓
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
💫 Acha kujidhalilisha kumtumia mwanaume picha za nusu uchi au za uchi ukisingizia ni mchumba kumbe ni chatu anakuvizia akumeze .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
💫 Mwanaume anayekupenda hawezi kukuomba picha za uchi au za nusu uchi .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
💫 Mwanaume anayekupenda akiona umeweka profile picha au status ya picha yako haina maadili atakukaripia sana na kukuonya uache .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
✍🏻 Mwanaume anayekupenda atakujali na utaona unabahati sana duniani
Atakujulia hali asbhi , mchana na jioni .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
✍🏻 Mwanaume anayekupenda atataka kujua unafanya nini
✍🏻 Mwanaume anayekupenda atazungumzia maisha yenu ya badae na siyo kila saa kuomba picha za utupu
✍🏻 Mwanaume anayekupenda hutaka awafahamu wazazi wako na ndugu zako
✍🏻 Mwanaume anayekupenda atataka kujua changamoto zipi zinakupata maishani mwako .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
✍🏻 Kwanini ujisumbue na kupoteza muda na mwanaume anayakutamani tu hakupendi ❓
✍🏻 Mwanaume akupendaye unapaswa pia uheshimu muda wake heshimu hisia zake .
✍🏻 Akikutafta acha kiburi cha kumkalia kimya na kutokusema samahani .
✍🏻 Usimdharau mwanaume anayekupenda ukimpoteza utakuja kuangukia pabaya.
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
✍🏻 Wanawake wengi wanamtaka halafu wewe unatumia nafasi yako vibaya kumdharau shauri yako akiondoka kwako utajuta .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
✍🏻 Mwanaume akupendaye mshikilie usimwache maana biblia inaweka wazi mume lazima akupende .
💻 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Waefeso 5:25
✍🏻 mheshimu sana maana anakupenda na amejitoa kwako .
✍🏻 Nawewe mwanaume usijichoshe na kumsumbukia mwanamke asiyejua thamani ya kupendwa .
✍🏻 Ukipendwa upendeke , acha kutomjali utamfukuza aende kwa mwingne .
✍🏻 Makosa anayoyafanya mwanamke apoteze vigezo vya kupendwa na kuaminiwa .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
1⃣ Ubishi
👉🏻 Kukataa kurekebishwa amekosea lakini anahalalisha kosa kuwa ni la kawaida tu .
2⃣ Utani kupita kiasi
👉🏻 Utani uliochangamana na mambo mazito kama magonjwa, kuzaa na uongo wa mitandao ni hatari sana .
3⃣ Alikuwa anavaa nguo za ajabu
Alipopishana kauli na mtu wake anavaa tena ili amwone akidai anamkomoa kumbe anajikomoa mwenyewe .
4⃣ Kupingana na kweli ya Mungu na kuhalalisha matakwa ya dunia hii .
👉🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
5⃣ Kujifanya mjuaji sana kila kitu wewe unajua .
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
6⃣ Kupenda starehe sana na kujifanya ombaomba sana
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
7⃣ Kutokukubadishwa
Mfano hutaki unachoambiwa ukiache , yaani hukiachi ukijidai kwamba wazazi wako hawakuambii halafu mchumba anamamlaka gani ❓
👉🏻 Huu ni ujinga
Tii uambiwacho kama kinamtukuza Mungu utii huanzia kabla ya ndoa , unayemwona anataka akuoe ameona utii wako .
https://peterfrancismasanja.blogspot.com
💒
Maoni
Chapisha Maoni