MUNGU KAKULETA DUNIANI UFANIKIWE KIROHO , KIMWILI ( KIUCHUMI ) NA KIAFYA .📒*

*📒 MUNGU KAKULETA DUNIANI UFANIKIWE KIROHO , KIMWILI ( KIUCHUMI ) NA KIAFYA .📒*


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829


Sauti ya Mungu Ministry



💻 Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo.

3 Yohana 1:2



✍🏻 Mungu alipokuleta hapa duniani alikuleta ufanye mambo makuu matatu ili akufanikishe .


1⃣ Umtumikie ( ibada )


2⃣ Umtii


3⃣ Kujitoa kwake .



💻 1 Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake.

Zaburi 128:1

2 Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema.

Zaburi 128:2

3 Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, Vyumbani mwa nyumba yako. Wanao kama miche ya mizeituni Wakiizunguka meza yako.

Zaburi 128:3

4 Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.

Zaburi 128:4

5 Bwana akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;

Zaburi 128:5

6 Naam, ukawaone wana wa wanao. Amani ikae na Israeli.

Zaburi 128:6


✍🏻 Afya njema , uchumi mzuri na ukuaji wa kiroho ni matokeo ya kumcha BWANA.


✍🏻 Agizo moja kakupa kwamba ili ufanikiwe kiuchumi lazima uwe na kazi yoyote ambayo unajishughulisha nayo .


✍🏻 Kingine ameweka ahadi kwako kuwa atakuepusha na maradhi .



 💻 Na Bwana atakuondolea ugonjwa wote; wala hatatia juu yako maradhi yo yote mabaya uyajuayo ya Misri, lakini atayaweka juu ya wote wakuchukiao.

Kumbukumbu la Torati 7:15


✍🏻 Katika uzao wako hatakuwepo mwenye kuharibu mimba
✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻


 💻 Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

Kutoka 23:26


 📙 HITIMISHO 📙


Mche Bwana , mtukuze yeye peke yake ili ufanikiwe kiroho , na kiuchumi na kuwa na afya njema
[6/6, 07:32] Mwl.Peter Francis Masanja: Mungu akubariki sana

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*