KUKAA NDANI YA YESU

📖 KUKAA NDANI YA YESU 📖


🍇 TO ADIBE IN JESUS 🍎


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829



📖 Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.


YOHANA 15:7



📋 Stay joined together with me, and follow my teachings. If you do this, you can ask for anything you want, and it will be given to you.


John 15:7




✍ Ipo faida kubwa ya kutafta kukaa ndani ya Yesu .


🔶 There is a great benefit of abiding in Jesus Christ .



✍ Unaweza ukadhani umekaa ndani ya Yesu kumbe huna Yesu ndani yako .

🍇 You may think that you're abiding in Jesus Christ but in reality you have no Jesus in your heart .



✍ Ili ukae ndani ya Yesu lazima uzae matunda .


🍇 In order to abide in Jesus Christ you have to bear fruits .


✍ Matunda haya ni matendo ya haki .


🍇 These fruits are the righteous deeds.


✍ Unahitaji kukataa dhambi ili uwe ndani ya Yesu sawasawa , hii ndyo maana ya kukaa ndani ya Yesu na kuzaa matunda .


🍇 You need to be away from sin in order to abide in Jesus Christ and produce fruits.



📖 Kaeni ndani yangu, nami ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa peke yake, lisipokaa ndani ya mzabibu; kadhalika nanyi hamuwezi, msipokaa ndani yangu.


Yohana 15:4



📋 Abide in me, and I in you. As the branch cannot bear fruit by itself, unless it abides in the vine, neither can you, unless you abide in me.




Mungu akubariki sana


🍇God bless you

John 15:4

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*