MASWALI YA KUJIULIZA KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YA KUOA AU KUOLEWA

❓ MASWALI YA KUJIULIZA KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YA KUOA AU KUOLEWA



πŸ‡ Je , unaye mtu mwingine aliyeingia kwa njia ya uzinzi ❓

Kama unaye mng'oe kwanza anaweza kuwa kizuizi kwako kumpata mwenzi sahihi .




πŸ‡ Umeamua kweli kuoa au kuolewa ❓


✍ Usiolewe kwa sababu umechoka kukaa nyumbani au umri unaenda .



πŸ‡ Utaolewa lini na nani utampa mwili wako ❓


✍ Tambua kuwa mwili wako ni wa mume wako peke yake tu .

✍ Na wewe kijana unaoa lini , nani unamuoa❓




πŸ‡Utaoa au utaolewa wapi na kivipi ❓

✍ Usikubali kuolewa kienyeji





πŸ‡Unajua kuwa ndoa itakubadilishia mfumo wa maisha yako ❓

✍ Utaacha wazazi , utahama maeneo ya kazi , utaacha baadhi ya marafiki , utakuwa Mrs fulani au Mr fulani .





πŸ‡ Unajua kuwa ndoa ni wajibu ❓

✍ Ndoa siyo starehe tu kijana .





Na


Mwl.Peter Francis Masanja

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*