OKOKA KATIKA MAMBO YOTE


                  📖OKOKA KATIKA MAMBO YOTE 📖
Mwl.Peter Francis Masanja
0679392829
Kuokoka ni kukataa ubaya .
Kuokoka ni kukataa uvionavyo vizuri lakini ni machukizo kwa Mungu.
Kuokoka ni kuishi maisha matakatifu.
Kuokoka ni kuishi kama Kristo alivyoishi .
Kuokoka ni kusoma neno na kulifanyia kazi na kuliishi.
Kuokoka ni kutubu na kuacha dhambi usirudie tena .
Kuokoka ni kufunga na kuomba .Kama hufungi na kuomba bado hujaokoka .
Kuokoka ni kuachana na marafiki waovu na kutafta marafiki watakao kufanya ukue kiroho.
Kuokoka ni kuacha kuabudu miungu na kuamua kumwabudu Mungu aliye hai , Muumba mbingu na nchi .
Kuokoka ni kumpenda Mungu
📖 15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.
1 Yohana 2:15
16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.
1 Yohana 2:16
Kinywa chako kiokoke .
Epuka matukano na matusi wewe umeokoka acha .
Epuka mizaha .
  Moyo wako uokoke


Epuka hasira na chuki na kinyongo

Acha wewe umeokoka .
📖 15 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.
1 Yohana 2:15
16 Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.
1 Yohana 2:16
Epuka mazungumzo mabaya
 📖 Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.
1 Wakorintho 15:33
Epuka mavazi yaaibu ni dhambi

Acha kabisa ,
Mwili wako uokoke
Wapo watu wanaangalia uvaaji wako ili wamkubali Yesu , vaa vizuri usiwazuilia kuja kwa Yesu .
Mungu akubariki sana

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*