DALILI ZA BINTI MWENYE JINI MAHABA

πŸ‡DALILI ZA BINTI MWENYE JINI MAHABA πŸ‡



✍ Kuota ndoto unafunga ndoa( harusi) na wafu au mtu usiyemjua .


✍ Kuota unanyonyesha.


✍ Kuota tumbo lako limevimba .



✍ Kuanzisha mahusiano na kila mtu na kuishia njiani .


✍ Kuachika na kila mwanaume .


✍ Kufiwa na kila mchumba anayekuja kukuchumbia .


✍ Kugombana na mchumba wako mara kwa mara.


✍ Kukataa kuolewa

✍ Kudharau wanaume na kuwa na majibu ya mikato.


✍ Kuwa muongo kwenye mahusiano .



✍ Kukosa moyo wa kujishusha kipindi ukipishana na mchumba wako .Hujui hata kusema samahani mkipishana unamjia juu .



✍ Kuota umeachana na mchumba wako



✍ Kuota unafukuzwa na mbwa .


✍ Kuota umeibiwa nguo za ndani .


✍ Kuota upo kwenye mahusiano na mume wa mtu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

πŸ”° MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA πŸ›*