DALILI ZINAZOONYESHA KUWA UNAFUATILIWA NA ROHO YA MAUTI

DALILI ZINAZOONYESHA KUWA UNAFUATILIWA NA ROHO YA MAUTI 🍇


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829

📖 ya kwamba nina huzuni nyingi na maumivu yasiyokoma moyoni mwangu.


Warumi 9:2

 ✍ Inapotokea mtu wa Mungu unajisikia huzuni moyoni mwako bila sababu hapo kuna roho ya mauti inakufuatilia .


✍ uonapo uchungu pia ni dalili ya kuwa unafuatiliwa na mauti.




✍ Hasira na kutojisikia kuongea na watu yaani siku hiyo kwako ni mbaya hujisikii vizuri kuongea na watu hiyo ni roho ya mauti.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*