ITUMIE MAMLAKA YA JINA LA YESU KUSHINDA NGUVU ZA GIZA
🍇 ITUMIE MAMLAKA YA JINA LA YESU KUSHINDA NGUVU ZA GIZA 🔥
Mwl.Peter Francis Masanja
0679392829
📖 9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
Wafilipi 2:9
10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Wafilipi 2:10
11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
Wafilipi 2:11
🔥 Tumia jina la Yesu kuangusha ufalme wa giza .
🔥 Tumia jina la Yesu kuwafunga midomo wanaokunenea mabaya .
🔥 Tumia jina la Yesu kuomba chochote kile utakacho Mungu akutendee .
📖 14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
Yohana 14:14
🛐 Kila uombalo omba kupitia jina la Yesu .
✍ Shetani hana mamlaka ya kukizuia kile ulichokiomba kupitia jina la Yesu .
✍ Jina la Yesu lina mamlaka ya upokeaji ( kupokea kile ulichokiomba ).
🔥 Unapolitaja jina la Yesu tambua kuwa unalitaja jina lenye nguvu kupita majina yote .
🔥 Jina hilo linapita majina yote .Lina mamlaka kupita majina yote.
🔥 Litumie kuteka na kuangusha ufalme wa giza .
🍇 Unalichukuliaje jina la Yesu maishani mwako ?
📖 14 Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.
Mathayo 16:14
15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?
Mathayo 16:15
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.
Mathayo 16:16
✍ Yesu ni mwana wa Mungu aliye hai
✍ Kama yeye ni mwana wa Mungu aliye hai tambua kuwa ndani ya jina lake kuna uzima yaani kuna uponyaji .Ukilitumia jina lake mambo yote yaliyoharibika yatachipuka upya .
📖 Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
Yohana 17:12
✍ Jina la Yesu ni ulinzi .
Huhitaji kuomba waganga watambike kwako liite jina la Yesu pekee .🔥🔥🔥🔥
https://peterfrancismasanja.blogspot.com

Maoni
Chapisha Maoni