MAMBO AMBAYO BINTI ANATAKIWA AYAEPUKE ILI KILA MWANAUME ATAMANI KUMUOA 🤭*

*🖐 MAMBO AMBAYO BINTI ANATAKIWA AYAEPUKE ILI KILA MWANAUME ATAMANI KUMUOA 🤭*



Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829



✍ Kabla sijaandika hayo mambo binti lazima ujue kwamba mwanaume kabla hajaamua kujilipua kwako anasoma hili andiko
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


📖 *Mwenye busarahuyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia* .


Mithali 22:3


✍ Mwanaume kabla hajafanya maamuzi ya kusema wewe unamfaa huchunguza mabaya yako .


✍ Akiona unavituko anaweka alama

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


❌❌❌❌❌


Maana yake hufai kuwa mkewe.




🍇 Sasa naomba tuangalie vijitabia ambavyo binti unatakiwa uviepuke kabisa ili uwe wa kuvutia kisura na kitabia pia .Huku ukichanua kama

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Yaani rose flower kwa kila mwanaume anataka akuoe na inafikia hatua unashindwa kufanya maamuzi

Inabidi uingie rohoni kwenye

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

💒🛐🛐🛐🛐🛐🛐


Maana yake kwenye maombi umwulize Mungu kati ya hawa wanaonijia yupi mume wangu sahihi😊😊😊


✍ JAMBO LA KWANZA

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

🍇 Epuka kuwa mwongeaji saana .


✍ Kuna mabinti akianza kuongea na mwanaume anaongea kama cherehani yaani hapumziki .

Mwanaume anawaogopa sana binti wa aina hiyo.

Umesemeshwa kidogo tuu , ukaanza Ooooh sijui imefika wapi na wapi , Mara Oooh fulaniii yupo hivii

Acha tabia hiyo .



✍ JAMBO LA PILI


👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


🍇 Epuka sana mazoea ya haraka .


✍ Mara tu ukutanapo na huyo mwanaume usioneshe kumzoea sana na kuongea naye kana kwamba ni shemeji yako atakukimbia 🏃🏻‍♂🏃🏻‍♂🏃🏻‍♂🏃🏻‍♂



✍ Wiki moja unaanza Oooh nimekumiss ,Oooh unamiradi gani , unabiashara gani , mara ooooh umekula nini

Acha ujinga 🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐


Usiharakie kumzoea sana



✍ JAMBO LA TATU

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


🍇 Epuka kuwazoea marafiki wa yule mwanaume .


✍ Kuna mabinti mara tu wakutanapo na marafiki za mwanaume tayari kanaanza kiherehere cha kujichekesha ovyo .


👉🏻 Yaani siku ya kwanza tu kanaomba namba za simu na za what's app .


Mwanaume akikuona tu na hiyo tabia anaweka alama

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


❌❌❌❌❌❌❌❌❌


Yaani hufai kuolewa


✍ Hata marafiki zake watamwambia ,

Aiseeee jamaa yetu huyu mwanamke hakufai yaani ni mapepe mmmmh mara hii tu katuzoea 😨😨😨😨😨

Mpige chini , tafta mke anayejiheshimu .

✍ JAMBO LA NNE


👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


🍇 Epuka kuweka picha zako mtandaoni sana ukiwa na mapozi ya kihuni , mara umebinua midomo , mara umeonyesha maziwa 😨😨😨😨



✍ Akikuona huko unajipost ovyo na likes 500 plus 200 comments tena wengi ni wanaume

Hapo ujue unajikosesha mume


✍ JAMBO LA TANO

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

🍇 Epuka saana uvaaji unaopingana na imani yako .


✍ Suruali na Kaptura pamoja nguo za kukuchora na kuanika mwili wako na vingine vingi ambavyo vinadhalilisha mwili wa mwanamke .


Epuka hayo ili kila mwanaume akuonaye aseme huyu ndiye ............



✍ JAMBO LA SITA



🍇 Jiepushe na marafiki wasio na ushuhuda mzuri



Mwisho wa kunukuu ✍✍✍✍✍✍✍✍

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*