MASHTAKA MATATU YALIYOSABABISHA KIFO CHA YESU

*👩‍🚒 MASHTAKA MATATU YALIYOSABABISHA KUFA KWA YESU 👑*


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sauti.ya.mungu.ministry




1⃣ *YESU ALIUAWA KWA KUVUNJA SABATO*

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


💻 18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa *hakuivunja sabato tu* , bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,


Yohana 5:18



✍ Hapo hapo Wasabato wa leo wanamwamini mvunja sabato


✍ Ingekuwa afadhali wasimwamini kabisa ndyo waishike sabato .


✍ Huwezi kumwamini mvunja sabato kama Bwana na mwokozi wa maisha yako kama wewe ni mshika sabato .



2⃣ *YESU ALIUAWA KWA SABABU ALIJIFANYA KUWA MWANA WA MUNGU*


👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


💻 7 Wayahudi wakamjibu, Sisi tunayo sheria, na kwa sheria hiyo amestahili kufa, *kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu* .


Yohana 19:7


✍ Kumbuka kwamba Wayahudi ni washika sabato pia washika sheria .



✍ Waliamru Yesu asulubiwe kwa sababu alijiita mwana wa Mungu .



3⃣ *YESU ALIUAWA KWA SABABU NI MFALME WA WAYAHUDI*👑


✍ Hata hivyo Wayahudi wenyewe walimkana na kusema wao ni wa Kaisari yaani hawamtambui .


✍ Ndipo walipopiga kelele wakisema asulubiwe .



👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻


💻 14 Nayo ilikuwa Maandalio ya pasaka, yapata saa sita. *Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!*


Yohana 19:14

15 Basi wale wakapiga kelele, Mwondoshe! Mwondoshe! Msulibishe! Pilato akawaambia, *Je! Nimsulibishe mfalme wenu!* Wakuu wa makuhani wakamjibu, *Sisi hatuna mfalme ila Kaisari*


✍ Kumbuka Wayahudi ni Wasabato ( washika sabato ) .


✍ Hata hivyo pamoja na kuvunja sabato , Yesu alisema kwamba yeye ni Bwana wa sabato kwahiyo anamamlaka ya kuivunja sabato .


👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻



💻 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.


Marko 2:28


Mwl.Peter Francis Masanja

0679392829



💒💒💒💒💒💒💒💒💒


God bless you

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA YA KUJAA ROHO MTAKATIFU

NGUVU NA FAIDA ZA MSAMAHA

🔰 MBINU ZA KUFUNGA NA KUOMBA 🛐*